Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokusoma bango kuwa njia ya MAGOGONI haipitiki, hakukuondolei ADHABU Kutoka Kwa wazee wa KAZI.Mwisho wa Maisha yaani the end kwa hiyo Mkuu jiachie maisha mafupi sana.
Mi mwenyewe natakaga niende kwenye ule uzi wa atheists niandike magazeti yangu sema dah[emoji23] censorship....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tutaishi hivyo hivyo kibishii bhanaa,
Nipe ushahidi wa kisayansi sio kunisomea dua na mafundisho yasiokuwa na ushahidi wowote.Maisha yajayo baada ya kutenganishwa na mwili huu hayana mwisho.
Hilo jua hapo angani alilitundika Babu Yako?Nipe ushahidi wa kisayansi sio kunisomea dua na mafundisho yasiokuwa na ushahidi wowote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan acha kwa kweliii.Mi mwenyewe natakaga niende kwenye ule uzi wa atheists niandike magazeti yangu sema dah[emoji23] censorship....
Hakuna shoga wa kuzaliwa, ila wengi wanajifunza kutokana na changamoto za dunia bila kusahau kujitakia mfano tamaa, ila haihalalishi wewe kuendelea kufanya huo ujinga wakati unajitambua na unaelewa sio sawa, kuna maelfu washafanyiwa hivyo vitendo huko utotoni kwa kurubuniwa n.k lakini hawakuja kuwa mashoga kutokana na kutambua sio kitu kizuri walipojua ukweliKama una hizo imani hii topic haikufai. Jamaa amejaribu kutoa mtazamo wake juu ya jambo husika usimhukumu!
Wapo mashoga wa kuzaliwa ndiyo na wapo wa kufunzwa hawa wanaingiliwa wakiwa wadogo na wanazoea hii tabia
Kama huamini kwamba watu wanazaliwa wakiwa mashoga kwann wanawake wengine wana ndevu? na baadhi ya wanaume wana maziwa?
Mtaedit jinsi mnavyoweza ila haihalalishi ukweli kuwa ushoga ni kujitakia ikiwa wewe ni timamu na unaweza kufikiri sawa sawaView attachment 2594102
View attachment 2594103
Hapa tunawaona Bonobo Apes wakifirana na kusagana.
Hii tabia ni ya Big Apes hawa hawajawa corrupted na Human ideas kama Dini za Binadamu nk.
Kwahiyo hizi tabia ni Natural na Ushoga ni tabia natural.
Nime edit wapi acha uvivu wa kusoma.Mtaedit jinsi mnavyoweza ila haihalalishi ukweli kuwa ushoga ni kujitakia ikiwa wewe ni timamu na unaweza kufikiri sawa sawa
Sisi sote tupo angani hakuna aliyetundika chochote.Hilo jua hapo angani alilitundika Babu Yako?
Mkuu relax utakula ban[emoji23]Ushoga ni Baraka kwa Mwanadamu.
Hapa tupeane facts tu hii ndio jf.Mkuu relax utakula ban[emoji23]
Dah kumbe na wewe ni shoga kwanini lakini unafokonyolewaUshoga ni Baraka kwa Mwanadamu.
Wewe mwenzio akifokonyolewa wewe unawashwa na nini?Dah kumbe na wewe ni shoga kwanini lakini unafokonyolewa