Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Mwisho wa Maisha yaani the end.
Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Maisha hayana mwisho,

Mwili ni vazi la Roho kama ilivyo suit ni vazi la mwili.

Kifo ni kuvua vazi la mwili na kwenda upande mwingine wa milele katika ADHABU kuzimu au milele Mbinguni.

So uwe na HAKIKA Turkey kama walikuwepo wa Mungu waliokuwa na kadhia hiyo, uwe na HAKIKA wanaendelea kuishi Mbinguni Raha mustarehe.

Bt kama walikuwepo waovu, wanaendelea kuhenyeka kuzimu hata sasa.

Mungu hakosei na Hana HASARA aamuapo jambo lake.

Amen
 
Najua kuna siku utashindwa kujizuia tu[emoji23] Kuna comment utaiona itaku-trigger[emoji23]
Km juzi kuna comment niliona, hadi nikawa natetemeka, nusu nianze kushusha mkeka tena wenye maneno ya shomboo, mara paapu kitu kikagonga kichwani, wee jiletee Ban inakutakaa sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nli log out kwa muda, kupisha temper daaah
 
Km juzi kuna comment niliona, hadi nikawa natetemeka, nusu nianze kushusha mkeka tena wenye maneno ya shomboo, mara paapu kitu kikagonga kichwani, wee jiletee Ban inakutakaa sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nli log out kwa muda, kupisha temper daaah
Kwani ukila ban nyingine ndo inakua mazima au vp[emoji23]
 
Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.
Hizo ni stories tu zilioandikwa na Wanadamu hakuna ushahidi wa kuwa Mtu ana Roho na kua akifa roho inatoka inaenda sehemu fulani.

Hakuna Binadamu aliyekufa akazikwa na akarudi hakuna so enjoy now tafuta Shoga umuombe msamaha.
 
Kutokana na wimbi la ushoga na usagaji nchini kusambaa kwa kasi kupitia taasisi za elimu na ustawi wa jamii kwa maana ya vituo vya kulelea watoto hasa vinavyomilikiwa na wawwkezaji wa kigeni, natoa rai serikali ipitie mitaala na mbinu za ufundishaji, vifaa vya ufundishaji, matumizi ya vifaa husika, madawa, mafuta na vinywaji wanavyopewa watoto wetu maeneo yote ya kulelea watoto na shule zote nchini.
 
Tena nimegundua Wanawake wanaopenda Anal stimulation huwa wanakojoa mara dufu kuliko wale wasiojua kuzitumia tuzi zao vizuri.
 
Mwisho wa Maisha yaani the end kwa hiyo Mkuu jiachie maisha mafupi sana.
Kutokusoma bango kuwa njia ya MAGOGONI haipitiki, hakukuondolei ADHABU Kutoka Kwa wazee wa KAZI.

Maisha yajayo baada ya kutenganishwa na mwili huu hayana mwisho.

Ni maombi yangu Usiende kuishi milele kuzimu na jehanum ya moto.

Amen.
 
13.jpg


41598_2022_22325_Fig1_HTML.jpg

Hapa tunawaona Bonobo Apes wakifirana na kusagana.

Hii tabia ni ya Big Apes hawa hawajawa corrupted na Human ideas kama Dini za Binadamu nk.

Kwahiyo hizi tabia ni Natural na Ushoga ni tabia natural.
 
Kama una hizo imani hii topic haikufai. Jamaa amejaribu kutoa mtazamo wake juu ya jambo husika usimhukumu!
Wapo mashoga wa kuzaliwa ndiyo na wapo wa kufunzwa hawa wanaingiliwa wakiwa wadogo na wanazoea hii tabia
Kama huamini kwamba watu wanazaliwa wakiwa mashoga kwann wanawake wengine wana ndevu? na baadhi ya wanaume wana maziwa?
Hakuna shoga wa kuzaliwa, ila wengi wanajifunza kutokana na changamoto za dunia bila kusahau kujitakia mfano tamaa, ila haihalalishi wewe kuendelea kufanya huo ujinga wakati unajitambua na unaelewa sio sawa, kuna maelfu washafanyiwa hivyo vitendo huko utotoni kwa kurubuniwa n.k lakini hawakuja kuwa mashoga kutokana na kutambua sio kitu kizuri walipojua ukweli
 
Back
Top Bottom