Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Heri ya sikukuu ya Idd El Fitr wandugu[emoji120][emoji120][emoji7][emoji7]
Baada ya kufuturu chakula changu siku yangu ya leo tulioanza kufunga SIKU 6,nikiwa hapa kijiwe changu cha kahawa hapa kwa Mtogole nimewiwa kuupandisha huu uzi hapa.
Si kila Mmarekani anaunga mkono UDHEHA-USHOGA-NDOA ZA JINSIA MOJA.
Si kila Jimbo nchini marekani linaunga mkono NDOA ZA JINSIA MOJA.
MISSISSIPPI
Rejea yangu ianzie hapa.....
NI KWANINI wengi wa wakazi wa JIMBO LA MISSISSIPPI hawaungi mkono ZIITWAZO HAKI ZA BINAADAMU ZA MUKTADHA WA UDHEHA-USHOGA-NDOA ZA JINSIA MOJA?!!!!
Jibu utalipata mwenyewe mwishoni mwa uzi huu......
HISTORIA YA MISSISSIPPI
Mnamo mwaka 1930 lilikuwa ni Jimbo ambalo wakazi wake (37.8%) kati ya wakazi wote walikuwa ni WAMAREKANI WEUSI(African Americans).Wengi wa hao weusi ni kizazi cha waafrika waliochukuliwa utumwani kutoka barani hapa.
Kufikia mwanzo wa karne ya 20.Wamarekani weusi(African Americans) wapatao 400,000 walihamia majimbo mengine ya kaskazini ,magharibi na kati- Magharibi,kutafuta maisha bora zaidi(GREEN PASTURE) kipindi hicho cha "GREAT MIGRATION".
Isisahaulike kuwa Mississippi ndilo jimbo lenye kusuasua na kushika mkia KIELIMU ,KIUCHUMI, KIMAENDELEO na KIKIPATO kati ya majimbo yote 50 (Jimbo la 51-wilaya ya Columbia).
[emoji117] Hii leo limepelekea kupunguza idadi ya wamarekani weusi kutoka 37.8% kuwa 36.4%.
Weupe(White Americans-Non Hispanic) wakiongoza kwa idadi 55.4%),Weupe (Hispanic) 3.6% ,Waasia "Asians" 1.5%,Wahindi wekundu"native americans 1.6%) .
Mississippi linabaki kuwa JIMBO ambalo wakazi wake wengi WANAPINGA UDHEHA-USHOGA-NDOA ZA JINSIA MOJA(Public opinion of same sex marriage).
DINI NA WANADINI
Mississippi inaongoza kwa wakazi wengi kuweka mbele imani za kidini na kuuona mchango mkubwa wa imani za kidini katika maisha ya mwanadamu.
85% ya wakazi wote hutanguliza dini.
Kijumla taifa zima la marekani 65% ndio wanaoona dini ina umuhimu kwa wanaadamu.
TAFITI YA KARIBUNI YA CHUO KIKUU CHA QUINNIPIAC.
68% ya wamarekani wote WANAUNGA MKONO UDHEHA-USHOGA-NDOA ZA JINSIA MOJA na 22% wakizipinga.Hili likiwa ni tofauti na tafiti za mwishoni mwa miaka ya 80 ambako wengi wa wamarekani walikuwa WANAPINGA MAHUSIANO hayo.
[emoji117]Tanbihi
Ndani ya miaka 30 wamarekani wamebadilika sana(hapa tuzikumbuke nasaha za mpendwa rais wetu mama SSH juu umuhimu mkubwa wa kuyalinda maadili ya vizazi vyetu).
Leo hii 76% ya vijana wa marekani (miaka 18-34) ndio wanaaongoza kutaka haki za MAHUSIANO ya JINSIA MOJA na wachache 7% ya vijana ndio wanaozipinga.
MISSISSIPPI ni jimbo linalotegemea uchumi kupitia KILIMO(pamba,viazi vitamu) na MAZAO YA MISITU.
TAFAKURI JADIDI
Je sisi waafrika(watanzania) tunaoendelea(chumi dhaifu kama ya wanamississipi wanaopinga ushoga) "tuanze kuunga mkono UDHEHA-USHOGA-NDOA ZA JINSIA MOJA kinyume kabisa na TAMADUNI ZETU NA IMANI ZETU ZA KIDINI ambazo tunaziweka mbele na kuzithamini kama wanavyozithamini wakazi wa huko Mississippi Marekani ?!!!!
Karibuni "Gahwa"na Al Kasus hapa maskani pangu kwa Mtogole Tandale[emoji120][emoji1666]
Alamsik binnour [emoji109][emoji109]
Mkunazi Njiwa,
Muuza Kahawa
Tandale.
#SiempreJMT[emoji120]
#SiempreTanzania
#SiempreSSH
#MamaaHuyoooKaja[emoji1732][emoji1732][emoji1732]