Daaah!Nasikia tu kuna ushogaushoga hata sijawai kuwaona japo nataka nimuonje hata 1 ili nijue napinga nini!
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hizo hadithi za zamani, hivi sasa ni tabu sana kuonana msenge Zanzibar, sisemi kama hawapo, lakini sio kama Kinondoni DaresalamNaskia na huko Zanzibar imekuwa baada ya nyumba Kuna shoga1, baada ya nyumba shoga ni kweli????
Arusha sijawahi kuona wala kusikia, watu wa Arusha hawana swaga za kurembea sana...ila nilisikia kwa hapa Dar kuwa kuna idadi kubwa sana ya wachagga hasa vijana wasomi wa chuo na watu wana kazi zao wamo katika hii sekta.Hizo hadithi za zamani, hivi sasa ni tabu sana kuonana msenge Zanzibar, sisemi kama hawapo, lakini sio kama Kinondoni Daresalam
Nasikia Arusha nako mashoga nje nje
Umeafungua kanisa siku hizi?Mungu hupokea wote hajali upoje anajali umerudi kwake .
Mapenzi ni matamu kama mume na mke wakishiriki .
Ila mke na mke wakishiriki ni mbaya sana au Mume na mke ,
Nilianzishwagwa shule nikiwa 13 form 1 so wale wakubwa walikuwa wnajitengaga nikaja kuumwa so walionipenda walinishauri nikalale kwao hadi nipone , aisee kumbe wao waNasagana na ndio nikaanza kujua Hilo jina eti Kuna baba na mama eti mie mtoto nikawashangaa , mtu kabisa anavitendea kazi vya kufanya maovu na msichana mwenzake na yupo serious.
Namwingine anatoa mlio wakufurahia kabisa . Hawana haya kesho yake nikarudi chumbani kwangu nisije geukwa na huyu anayejiita baba , Cha aibu yule dada anajiita mama alikuja pata mwanaume yule anayejiita mume alilia kabisa mbwa yule eti umeniacha wakapigana kabisa ngumu wakatoana damu ila yule dada akapata mwingine wakaendelea kusagana nikahamishwa shule .
Kisa ilikuwa sio nzuri kimaadili basi bahana maisha yakawa hayo.
Mengineyo ni kuwa kutoa hii roho ya shetani sio rahisi ila jitahidini.
Kwamaana wengine ni maisha wamechagua ili waonekane ni matajiri wanachukuliwa maisha Yao na ushirikina ili wafaidi maisha. Mtu anakubali kuwa shoga analiwa au anakula , mwingine anasagana yeye ndio mume au mke anasagwa ili ramani zimnyokee plz elewa jambo , Kwa Sasa utafurahia ila Kwa mbele hii ni mbaya itakuja kukutokea puwani, ishi Mungu anavyotaka hata asilimia 20 kuwa na mahusiano ya jinsia tofauti mpo huku wengi badilikeni muda upo.
Mungu hupokea wote hajali upoje anajali umerudi kwake .
MCHANA MWEMA KWAKO UTAKAYE RUDI KWA BWANA
huyu mwenzenu inavyosemekana kauwawa geita Kisa hakijulikani.
Eti eti ehSamahani, nilikuwa naomba ufungue PM mara moja
Ndiyo. Fanya hivyo tafadhaliEti eti eh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakujuaaaaShukran kwa kunikaribisha ila si "karibu tena" ni mimi nani mkuu wangu ?!!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Elimu ya ujinsia itolewee, hili ndio suluhisho.Wadau nawasalimu.Kutokana na Tatizo la USHOGA ULAWITI MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE na KUSAGANA kushamiri kwa Kiasi kikubwa ni Wakati sahihi sasa kwa SERIKALI TAASISI mbalimbali kulivalia njuga na Kuanza KUTOA ELIMU kwa UMMA kupitia Vyombo mbalimbali vya HABARI pamoja na MAHUBIRI kwenye NYUMBA za IBADA kama ilivyokuwa wakati wa JANGA la COVID-19 na Magonjwa Mengine.
Vile vile ELIMU hiiitolewe MASHULENI kwani Watoto wetu Wanahadaiwa kirahisi sana .TATIZO hili sio la KULIPUUZA kwani LITAKUJA LIGHARIMU TAIFA kadiri linavyoongezeka na litasambaa kwa Watu wengi hasa VIJANA na WATOTO wetu.PIA Ombi kwa WAZAZI na WALEZI wote TUWE KARIBU na WATOTO wetu ili Tujue MIENENDO yao na TUWE tunawapa ELIMU ya MADHARA ya HILI JANGA.Ni imani yangu SERIKALI ITABANDIKA MABANGO na VEPERUSHI katika MAENEO Mbalimbali ya NCHI.
Mapenzi ni matamu kama mume na mke wakishiriki .
Ila mke na mke wakishiriki ni mbaya sana au Mume na mke ,
Nilianzishwagwa shule nikiwa 13 form 1 so wale wakubwa walikuwa wnajitengaga nikaja kuumwa so walionipenda walinishauri nikalale kwao hadi nipone , aisee kumbe wao waNasagana na ndio nikaanza kujua Hilo jina eti Kuna baba na mama eti mie mtoto nikawashangaa , mtu kabisa anavitendea kazi vya kufanya maovu na msichana mwenzake na yupo serious.
Namwingine anatoa mlio wakufurahia kabisa . Hawana haya kesho yake nikarudi chumbani kwangu nisije geukwa na huyu anayejiita baba , Cha aibu yule dada anajiita mama alikuja pata mwanaume yule anayejiita mume alilia kabisa mbwa yule eti umeniacha wakapigana kabisa ngumu wakatoana damu ila yule dada akapata mwingine wakaendelea kusagana nikahamishwa shule .
Kisa ilikuwa sio nzuri kimaadili basi bahana maisha yakawa hayo.
Mengineyo ni kuwa kutoa hii roho ya shetani sio rahisi ila jitahidini.
Kwamaana wengine ni maisha wamechagua ili waonekane ni matajiri wanachukuliwa maisha Yao na ushirikina ili wafaidi maisha. Mtu anakubali kuwa shoga analiwa au anakula , mwingine anasagana yeye ndio mume au mke anasagwa ili ramani zimnyokee plz elewa jambo , Kwa Sasa utafurahia ila Kwa mbele hii ni mbaya itakuja kukutokea puwani, ishi Mungu anavyotaka hata asilimia 20 kuwa na mahusiano ya jinsia tofauti mpo huku wengi badilikeni muda upo.
Mungu hupokea wote hajali upoje anajali umerudi kwake .
MCHANA MWEMA KWAKO UTAKAYE RUDI KWA BWANA
huyu mwenzenu inavyosemekana kauwawa geita Kisa hakijulikani.
Mapenzi ni matamu kama mume na mke wakishiriki .
Ila mke na mke wakishiriki ni mbaya sana au Mume na mke ,
Nilianzishwagwa shule nikiwa 13 form 1 so wale wakubwa walikuwa wnajitengaga nikaja kuumwa so walionipenda walinishauri nikalale kwao hadi nipone , aisee kumbe wao waNasagana na ndio nikaanza kujua Hilo jina eti Kuna baba na mama eti mie mtoto nikawashangaa , mtu kabisa anavitendea kazi vya kufanya maovu na msichana mwenzake na yupo serious.
Namwingine anatoa mlio wakufurahia kabisa . Hawana haya kesho yake nikarudi chumbani kwangu nisije geukwa na huyu anayejiita baba , Cha aibu yule dada anajiita mama alikuja pata mwanaume yule anayejiita mume alilia kabisa mbwa yule eti umeniacha wakapigana kabisa ngumu wakatoana damu ila yule dada akapata mwingine wakaendelea kusagana nikahamishwa shule .
Kisa ilikuwa sio nzuri kimaadili basi bahana maisha yakawa hayo.
Mengineyo ni kuwa kutoa hii roho ya shetani sio rahisi ila jitahidini.
Kwamaana wengine ni maisha wamechagua ili waonekane ni matajiri wanachukuliwa maisha Yao na ushirikina ili wafaidi maisha. Mtu anakubali kuwa shoga analiwa au anakula , mwingine anasagana yeye ndio mume au mke anasagwa ili ramani zimnyokee plz elewa jambo , Kwa Sasa utafurahia ila Kwa mbele hii ni mbaya itakuja kukutokea puwani, ishi Mungu anavyotaka hata asilimia 20 kuwa na mahusiano ya jinsia tofauti mpo huku wengi badilikeni muda upo.
Mungu hupokea wote hajali upoje anajali umerudi kwake .
MCHANA MWEMA KWAKO UTAKAYE RUDI KWA BWANA
huyu mwenzenu inavyosemekana kauwawa geita Kisa hakijulikani.
Sasa hadi now siwamemaliza shule kitamboo hao wadadaShule gani hiyo ili tusipeleke watoto huko?
Huyu aliyemvisha Pete mwenzake ndio kauwawa geitaAliuawa ni nani? Mdogo wake shonza au huyo mmama?
Huyu aliyemvisha Pete mwenzake ndio kauwawa geita
Wanadai inawezekana ni wivu wamapenzi maana alikuwa na mademu wengiHuyo mama alikua mtu wa GGM sijajua kama alipoteza kazi pale na alikua don
So yawezekana ni mambo za madini au mambo za kusagana
Wanadai inawezekana ni wivu wamapenzi maana alikuwa na mademu wengi