Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Wadau nawasalimu.Kutokana na Tatizo la USHOGA ULAWITI MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE na KUSAGANA kushamiri kwa Kiasi kikubwa ni Wakati sahihi sasa kwa SERIKALI TAASISI mbalimbali kulivalia njuga na Kuanza KUTOA ELIMU kwa UMMA kupitia Vyombo mbalimbali vya HABARI pamoja na MAHUBIRI kwenye NYUMBA za IBADA kama ilivyokuwa wakati wa JANGA la COVID-19 na Magonjwa Mengine.
Vile vile ELIMU hiiitolewe MASHULENI kwani Watoto wetu Wanahadaiwa kirahisi sana .TATIZO hili sio la KULIPUUZA kwani LITAKUJA LIGHARIMU TAIFA kadiri linavyoongezeka na litasambaa kwa Watu wengi hasa VIJANA na WATOTO wetu.PIA Ombi kwa WAZAZI na WALEZI wote TUWE KARIBU na WATOTO wetu ili Tujue MIENENDO yao na TUWE tunawapa ELIMU ya MADHARA ya HILI JANGA.Ni imani yangu SERIKALI ITABANDIKA MABANGO na VEPERUSHI katika MAENEO Mbalimbali ya NCHI.
Elimu ya ujinsia itolewee, hili ndio suluhisho.
 
Mapenzi ni matamu kama mume na mke wakishiriki .

Ila mke na mke wakishiriki ni mbaya sana au Mume na mke ,

Nilianzishwagwa shule nikiwa 13 form 1 so wale wakubwa walikuwa wnajitengaga nikaja kuumwa so walionipenda walinishauri nikalale kwao hadi nipone , aisee kumbe wao waNasagana na ndio nikaanza kujua Hilo jina eti Kuna baba na mama eti mie mtoto nikawashangaa , mtu kabisa anavitendea kazi vya kufanya maovu na msichana mwenzake na yupo serious.

Namwingine anatoa mlio wakufurahia kabisa . Hawana haya kesho yake nikarudi chumbani kwangu nisije geukwa na huyu anayejiita baba , Cha aibu yule dada anajiita mama alikuja pata mwanaume yule anayejiita mume alilia kabisa mbwa yule eti umeniacha wakapigana kabisa ngumu wakatoana damu ila yule dada akapata mwingine wakaendelea kusagana nikahamishwa shule .

Kisa ilikuwa sio nzuri kimaadili basi bahana maisha yakawa hayo.
Mengineyo ni kuwa kutoa hii roho ya shetani sio rahisi ila jitahidini.

Kwamaana wengine ni maisha wamechagua ili waonekane ni matajiri wanachukuliwa maisha Yao na ushirikina ili wafaidi maisha. Mtu anakubali kuwa shoga analiwa au anakula , mwingine anasagana yeye ndio mume au mke anasagwa ili ramani zimnyokee plz elewa jambo , Kwa Sasa utafurahia ila Kwa mbele hii ni mbaya itakuja kukutokea puwani, ishi Mungu anavyotaka hata asilimia 20 kuwa na mahusiano ya jinsia tofauti mpo huku wengi badilikeni muda upo.

Mungu hupokea wote hajali upoje anajali umerudi kwake .

MCHANA MWEMA KWAKO UTAKAYE RUDI KWA BWANA
huyu mwenzenu inavyosemekana kauwawa geita Kisa hakijulikani.

Aliuawa ni nani? Mdogo wake shonza au huyo mmama?
 
Shule gani hiyo ili tusipeleke watoto huko?
 
Huyo mama alikua mtu wa GGM sijajua kama alipoteza kazi pale na alikua don
So yawezekana ni mambo za madini au mambo za kusagana
 
Attachments

  • Screenshot_20230427-135811.png
    Screenshot_20230427-135811.png
    42.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20230427-135835.png
    Screenshot_20230427-135835.png
    239.9 KB · Views: 7
Wadau nawasalimu.Kutokana na Tatizo la USHOGA ULAWITI MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE na KUSAGANA kushamiri kwa Kiasi kikubwa ni Wakati sahihi sasa kwa SERIKALI TAASISI mbalimbali kulivalia njuga na Kuanza KUTOA ELIMU kwa UMMA kupitia Vyombo mbalimbali vya HABARI pamoja na MAHUBIRI kwenye NYUMBA za IBADA kama ilivyokuwa wakati wa JANGA la COVID-19 na Magonjwa Mengine.
Vile vile ELIMU hiiitolewe MASHULENI kwani Watoto wetu Wanahadaiwa kirahisi sana .TATIZO hili sio la KULIPUUZA kwani LITAKUJA LIGHARIMU TAIFA kadiri linavyoongezeka na litasambaa kwa Watu wengi hasa VIJANA na WATOTO wetu.PIA Ombi kwa WAZAZI na WALEZI wote TUWE KARIBU na WATOTO wetu ili Tujue MIENENDO yao na TUWE tunawapa ELIMU ya MADHARA ya HILI JANGA.Ni imani yangu SERIKALI ITABANDIKA MABANGO na VEPERUSHI katika MAENEO Mbalimbali ya NCHI.
Muda wetu wa kuishi
Humu duniani ni mdogo Sana! hebu jipe raha mwenyewe Kwa kula, kunywa, Kuvaa, kulala unono!
Muda wa kupinga wanaosengeka na kusagana haukupi kula, kunywa, Kuvaa, Kulala unono na mambo Kama hayo[emoji145]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Binti anataka haki ya kuwasugua wanawake wenzake !! naiona na midume nayo eti inataka haki ya kuinamishwa na midume mnyenzao - 😳 😳
 
Hii vita ya hawa washenzi kwa hapa bongo naona hatunayo sirias kabisa,nilitegemea tungetunga sheria kali kwa kila afanyae na kuhisiwa,siku ili janga likija kuwa kubwa nchini hatutakuwa na lakufanya
 
Back
Top Bottom