Mapenzi ni matamu kama mume na mke wakishiriki .
Ila mke na mke wakishiriki ni mbaya sana au Mume na mke ,
Nilianzishwagwa shule nikiwa 13 form 1 so wale wakubwa walikuwa wnajitengaga nikaja kuumwa so walionipenda walinishauri nikalale kwao hadi nipone , aisee kumbe wao waNasagana na ndio nikaanza kujua Hilo jina eti Kuna baba na mama eti mie mtoto nikawashangaa , mtu kabisa anavitendea kazi vya kufanya maovu na msichana mwenzake na yupo serious.
Namwingine anatoa mlio wakufurahia kabisa . Hawana haya kesho yake nikarudi chumbani kwangu nisije geukwa na huyu anayejiita baba , Cha aibu yule dada anajiita mama alikuja pata mwanaume yule anayejiita mume alilia kabisa mbwa yule eti umeniacha wakapigana kabisa ngumu wakatoana damu ila yule dada akapata mwingine wakaendelea kusagana nikahamishwa shule .
Kisa ilikuwa sio nzuri kimaadili basi bahana maisha yakawa hayo.
Mengineyo ni kuwa kutoa hii roho ya shetani sio rahisi ila jitahidini.
Kwamaana wengine ni maisha wamechagua ili waonekane ni matajiri wanachukuliwa maisha Yao na ushirikina ili wafaidi maisha. Mtu anakubali kuwa shoga analiwa au anakula , mwingine anasagana yeye ndio mume au mke anasagwa ili ramani zimnyokee plz elewa jambo , Kwa Sasa utafurahia ila Kwa mbele hii ni mbaya itakuja kukutokea puwani, ishi Mungu anavyotaka hata asilimia 20 kuwa na mahusiano ya jinsia tofauti mpo huku wengi badilikeni muda upo.
Mungu hupokea wote hajali upoje anajali umerudi kwake .
MCHANA MWEMA KWAKO UTAKAYE RUDI KWA BWANA
huyu mwenzenu inavyosemekana kauwawa geita Kisa hakijulikani.