Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,565
- 1,118
Kwani huwa hatupigi kelele kuhusu huo wizi ? Hizi nyuzi kuhusu uwizi serikalini si zipo kila siku humu ??? Kama upo upande huo sema tu tufahamu umeegemea upande upi..Si afadhali haya kuliko wizi wa mafedha kibao ya UMMA ambao hakuna anayeukemea. Hizi longo longo mnazopiga kwenye hii habari mgeielekeza kwenye kukomesha mali za UMMA, barabara zote zingelikuwa na lami.....