kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Yaani nchi za Africa ni wajinga sana ,hapa Tanzania walawiti ni ruksa, wafiraji ni ruksa,wezi ni ruksa ila mashoga ni dhambi ,jamani nchi zenu tengenezeni uchumi uliokuwa Bora ili wazungu wakileta utamaduni wao muwakatae ,Sasa nyinyi kila kitu mnaomba Kwa wazungu mnategemea musiletewe madudu Yao?madini mnayo ,bahari mnayo,maziwa mnayo,mazao mnayo, Sasa mnataka nini ?nasema hivi walete hadi mdomoni ili akili ziwakae sawa