Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Idadi ya mapenzi ya jinsia moja tz ni kubwa sana hadi marafiki zangu nao wamo
You can agree with me kwamba the rate of same sex relationship in Tanzania is higher than we think.

You can expect someone to be a pure straight but behind the scene is a secret gay

Others are married but they continue to hold this relationship but secretly.

There a lot of people thousands up to hundred thousands of people who engage on this issues

Wapo wengi sana kiwango cha wanaojihusisha ni kikubwa sana hapa sizungumzii wafanywaji nazungumzia wote, wafanyaji na wafanywa.

Bado hawa ambao wapo kwenye ndoa ambazo wakitongozwa na gays huko mitandaoni wanaaccept

Hapa bongo katika watu 100 wanaotongozwa na gays 20 tu ndo wanakua na uwezo wa kukataa hao 80 wanaingia mazima.

Wengine wasio na interests wataomba kwanza hela ili wamfanye mfanywa hivyo

Tusijigambe tupo salama, hatupo salama hata kidogo halafu ndio waongoza kwa unafiki wa kuwakandia na kuwaponda mashoga na ndo wanaongoza kwa kujifanya kuandika "mungu tulindie kizazi chetu" kumbe ndo wanaongoza kwa kuwafanya gays bongo bila unafiki mambo hayaendi

Wanaongoza kwa kujifanya kuwakandia na kuwachukia mashoga ukifatilia wengi wao 98% ndo wanaongoza kwa kutembea na mashoga au ndo mashoga wenyewe mtu anawakandia ila akifika huko inbox analainika tu na kuomba radhi kabisa kwamba samahani pale nilijifanya kuwachukia ila nimefanya hivyo ili watu waone nawaunga mkono ila haya mambo napenda.

Kuna NG'O moja nilijivolunteer majuzi ni balaa watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni wengi kuliko nilivyodhani wamo waheshimiwa, watu wa dini, wasanii, na kila aina ya watu huo mtandao ni mpana sana.

Sio poa kwakweli hata hivyo ndo maana simuamini mtu juu ya haya mambo unakuta mtu ndo yule yule kuna rafiki yangu nilikua namuamini sana tena yupo huko kwenye idara fulani hivi ukimsikiliza anavyokandia na kusimamia misimamo kindakindaki, nilikuja kugundua yeye na jamaa mmoja niliyekua namuheshimu tokea shuleni alikua kijana mtanashati kuwa nao wana mahusiano ya muda mrefu sana ya jinsia moja.

Jamaa akitoka huko kambini akija tu wanaenda kula bata na mshikaji mara mahotelini kila sehemu nikawa nashangaa mimi na washikaji zake wengine mbona sisi wanae mbona kama katutenga hivi?maana muda wote akija anakua busy na huyo jamaa mwingine kumbe nao ni wale wale niligundua miezi kadhaa iliyopita na sijawahi kumuuliza wala sitomuuliza nimegundua huku duniani unafiki upo mkubwa sana.

Kwa hali ilivyo sina binafsi msimamo wangu siungi mkono wowote hayo matendo kwasasa nimebadilika sana sio kwamba nasapoti haya mambo mimi siungi mkono wala sitokaa kuunga mkono lakini haimaanishi nawachukia wanaofanya hivyo mimi nipo hivyo katika hili maana bado safari ya ubaba ndo imeanza ndo kwanza mtoto mmoja sitarajii wanangu wawe hivi na naomba mungu aniepushie hili kwa watoto wangu, kwahiyo siwezi kuwa na msimamo juu ya hao wanaofanya hivyo maana siijui kesho yangu, kila mtu atahukumiwa na mungu kulingana na anayoyafanya.

[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Ulianzisha uzi humu kujinadi kuwa umeacha, nilikwambia bado una tabia za kishoga na unatafuta sympathy ukanibishia. You are still gay na hapa unajifariji tuu.
 
Fact: jamii zote za ufugaji wanafirana sana wao Kwa wao,Tena Kwa kutokua na kujua hawaoni kama ni Tendo baya sana,inakua more of kutiana tu sio mapenzi. Source yangu ni mmasai
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

cc: cocastic
 
Mungu asaidie.Nilikua nasikia kuna daktari mmoja pale hospitali ya rufaa,ana tabia za kuingiliwa,nikawa najua ni stori tu,sasa siku moja tukapelekwa kwenda kupima vipimo,nilikua na wenzangu,mambo ya intavyuu haya,mi bilashaka nilikua wa kwanza,kwenye foleni,ile nasukuma mlango wa daktari,nikakuta huyo Dr. anashikwashikwa na Dr. mwenzake.Aisee ilinibidi nirudi nyuma fasta,nikafunga mlango.Mungu asaidie.
Hiyo hospitali inaitwaje?
 
Tusijigambe tupo salama, hatupo salama hata kidogo halafu ndio waongoza kwa unafiki wa kuwakandia na kuwaponda mashoga na ndo wanaongoza kwa kujifanya kuandika "mungu tulindie kizazi chetu" kumbe ndo wanaongoza kwa kuwafanya gays bongo bila unafiki mambo hayaendi

Kwa hali ilivyo sina binafsi msimamo wangu siungi mkono wowote hayo matendo kwasasa nimebadilika sana sio kwamba nasapoti haya mambo mimi siungi mkono wala sitokaa kuunga mkono lakini haimaanishi nawachukia wanaofanya hivyo mimi nipo hivyo katika hili maana bado safari ya ubaba ndo imeanza ndo kwanza mtoto mmoja sitarajii wanangu wawe hivi na naomba mungu aniepushie hili kwa watoto wangu, kwahiyo siwezi kuwa na msimamo juu ya hao wanaofanya hivyo maana siijui kesho yangu, kila mtu atahukumiwa na mungu kulingana na anayoyafanya.

[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app

MUNGU nusuru kizazi chetu
 
Nyie mashoga kwanini mnalazimisha kila mtu awe mshenzi km nyie

Mnazushia watu ushoga ili kuhalalisha ushenzi wenu

Kama wewe mwanaume umeamua kuingia sodoma iyo tabia baki nayo

Ukianza kujinyea au kunuka mavi ni wewe acheni kulazimisha kila mtu awe km nyie

[emoji23][emoji23]
 
Idadi ya mapenzi ya jinsia moja tz ni kubwa sana hadi marafiki zangu nao wamo
You can agree with me kwamba the rate of same sex relationship in Tanzania is higher than we think.

You can expect someone to be a pure straight but behind the scene is a secret gay

Others are married but they continue to hold this relationship but secretly.

There a lot of people thousands up to hundred thousands of people who engage on this issues

Wapo wengi sana kiwango cha wanaojihusisha ni kikubwa sana hapa sizungumzii wafanywaji nazungumzia wote, wafanyaji na wafanywa.

Bado hawa ambao wapo kwenye ndoa ambazo wakitongozwa na gays huko mitandaoni wanaaccept

Hapa bongo katika watu 100 wanaotongozwa na gays 20 tu ndo wanakua na uwezo wa kukataa hao 80 wanaingia mazima.

Wengine wasio na interests wataomba kwanza hela ili wamfanye mfanywa hivyo

Tusijigambe tupo salama, hatupo salama hata kidogo halafu ndio waongoza kwa unafiki wa kuwakandia na kuwaponda mashoga na ndo wanaongoza kwa kujifanya kuandika "mungu tulindie kizazi chetu" kumbe ndo wanaongoza kwa kuwafanya gays bongo bila unafiki mambo hayaendi

Wanaongoza kwa kujifanya kuwakandia na kuwachukia mashoga ukifatilia wengi wao 98% ndo wanaongoza kwa kutembea na mashoga au ndo mashoga wenyewe mtu anawakandia ila akifika huko inbox analainika tu na kuomba radhi kabisa kwamba samahani pale nilijifanya kuwachukia ila nimefanya hivyo ili watu waone nawaunga mkono ila haya mambo napenda.

Kuna NG'O moja nilijivolunteer majuzi ni balaa watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni wengi kuliko nilivyodhani wamo waheshimiwa, watu wa dini, wasanii, na kila aina ya watu huo mtandao ni mpana sana.

Sio poa kwakweli hata hivyo ndo maana simuamini mtu juu ya haya mambo unakuta mtu ndo yule yule kuna rafiki yangu nilikua namuamini sana tena yupo huko kwenye idara fulani hivi ukimsikiliza anavyokandia na kusimamia misimamo kindakindaki, nilikuja kugundua yeye na jamaa mmoja niliyekua namuheshimu tokea shuleni alikua kijana mtanashati kuwa nao wana mahusiano ya muda mrefu sana ya jinsia moja.

Jamaa akitoka huko kambini akija tu wanaenda kula bata na mshikaji mara mahotelini kila sehemu nikawa nashangaa mimi na washikaji zake wengine mbona sisi wanae mbona kama katutenga hivi?maana muda wote akija anakua busy na huyo jamaa mwingine kumbe nao ni wale wale niligundua miezi kadhaa iliyopita na sijawahi kumuuliza wala sitomuuliza nimegundua huku duniani unafiki upo mkubwa sana.

Kwa hali ilivyo sina binafsi msimamo wangu siungi mkono wowote hayo matendo kwasasa nimebadilika sana sio kwamba nasapoti haya mambo mimi siungi mkono wala sitokaa kuunga mkono lakini haimaanishi nawachukia wanaofanya hivyo mimi nipo hivyo katika hili maana bado safari ya ubaba ndo imeanza ndo kwanza mtoto mmoja sitarajii wanangu wawe hivi na naomba mungu aniepushie hili kwa watoto wangu, kwahiyo siwezi kuwa na msimamo juu ya hao wanaofanya hivyo maana siijui kesho yangu, kila mtu atahukumiwa na mungu kulingana na anayoyafanya.

[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app

Binafsi siwez mkandia shoga Wala lesbian mungu ndo kawaumba sjihusishi na haya mambo ila naheshim privacy zao kama hawafai mungu angeshakua kawatoa kbsa dunian yeye anawaacha mm nam niwapinge
 
Acha wapakuane si ni miili yao?
 
Back
Top Bottom