Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Niambie faida za wewe kuwa shoga au unapata raha??
Eti wanyama wanafanya kwahiyo Ni halali sisi binadamu kufanya hivyo pia au hoja yako inalenga nini hasa? Unahalalisha ushoga???
 
😂😂Ni utahira tu hao,watakwambiaa marekani anasapoti sasa sijui lini biden alikuja akaanza kukamata vijana wawili na kiwafungia chumbani akiwalazimisha wafanye ushoga, akili zao na mapendeleo yao wametaka kuyafanya hayo
 
Nani anacontrol google kama sio hao hao mashoga.
Sawa. Kama google Inacontroliwa na mtu sawa. Umeshinda sibishani na wewe. Una akili kuliko wote duniani, usemalo wewe ndo ukweli na dunia nzima inaendeshwa na shoga. Sawa kaka hongera Doctor.
 
Niambie faida za wewe kuwa shoga au unapata raha??
Eti wanyama wanafanya kwahiyo Ni halali sisi binadamu kufanya hivyo pia au hoja yako inalenga nini hasa? Unahalalisha ushoga???
Mimi sio shoga ukitaka kulazimisha inama ufirwe coz shoga ni gay meaning both anaweza akawa. Naona unalazimisha kitu out of context. Kama hujaelewa uliza uambiwe the point. Nimesema point ya kuwa wanyama sio mashoga ni uwongo so watu wasiitumie Kama kigezo Cha kukataa ushoga. Kuhusu kuhalalisha hiyo sio kazi yangu. Ushoga utakuwepo Kama vile Malaya, bangi na kwa mpalange. Ila ya chumbani kwa mtu yabaki chumbani kwa mtu
 
[emoji23][emoji23]Ni utahira tu hao,watakwambiaa marekani anasapoti sasa sijui lini biden alikuja akaanza kukamata vijana wawili na kiwafungia chumbani akiwalazimisha wafanye ushoga, akili zao na mapendeleo yao wametaka kuyafanya hayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie wananichekesha na kuniacha hoi mnooo. Lol.

Watu wamevurugwaa balaa.
 
😂😂Ni utahira tu hao,watakwambiaa marekani anasapoti sasa sijui lini biden alikuja akaanza kukamata vijana wawili na kiwafungia chumbani akiwalazimisha wafanye ushoga, akili zao na mapendeleo yao wametaka kuyafanya hayo
In America gays hawafiki 5% ya taifa zima.. hajawahi tokea raisi wa marekani shoga. Sasa sijui Nani anacontrol dunia mpaka google inaandika uwongo ..na sijui anafaidika Nini kwa sababu marekani wenyewe Kuna watu wanaupinga hivyo hivyo na maisha yanaendelea. Shida watu hawaijui hata marekani kila kitu wakiskia wanakubali. Tena south Africa Ina mashoga wengi kuliko marekani Kuna nchi ulaya zina mashoga wengi Ila watu hawafanyi research wanaconclude tu marekani kisa imeendelea muache wivu na bado tutaendelea kuomba misaada coz tumegoma kukua kiakili
 
Sijakuelewa, inaendaje kivipi mkuu? Kipi ambacho wewe unataka kufahamu hasa juu ya hili janga? Ni mapambano, sheria au kipi?
Why inapambwa Sana wakati Kuna matatizo yamsingi yanayo affect maisha yetu kiuchumi kiafya kielimu na kimaendeleo. Tunakaa kupigiana kelele kuhusu vitendo vya chumbani wakati 2019 bando nanunua buku 1GB now GB moja 2500
 
Povuuuuuu la OMO, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Since umeamua umsaidie dada yako kazi na kuifanya kazi aliyofanya mama yako akakupata wewe hakuna namna utafanya uongee mbele ya wanaume tunaojitambua tukusikilize that's why huwa nakupuuza,hivi unaijua gharama ya kuwa mwanaume wewe?

Nilimwambia hivi mjinga mjinga mwenzako mmoja humu akanielewa na wewe nakwambia ukiona nime-post hapa jukwaani usihangaike kuni-quote na hii kwako ni quote yangu ya mwisho,kwanza una nini cha maana cha kusema?wewe ni kama maiti tu kasoro unapumua ila ubongo wako wote ni mfu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie wananichekesha na kuniacha hoi mnooo. Lol.

Watu wamevurugwaa balaa.
sasa nikuchekeshe, kuna mteja kaja dukani, duka la nguo za kiume akakuta t-shirt ina rangi kama ya rainbow, baba lijitu lizima linaulizaje ety daah hii tshert haikuletei shida kuuza, nikamuuliza kwanini? Ety si ya wenzetu upande wa pili wanaotaka haki zao, nikamwambia ni kweli KWA tafsiri yako upo sahihi lakini kwangu mimi huo ni upinde mvua sijajua hao unaowaita wenzenu hiyo bendera waliianzisha lini. Likabaki linasema daah hili janga hili, mbaba mtu mzima akili imejaa kamasi tu hamna linachowaza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni hili tyuuh au Una jingine? Wanaume wepi wanaojitambua na kujielewa??

Maneno yangu machache umeshusha paragraph 2.
Poleeeeee
 
Mk Mkuu hata mm sikuwahi kufahamu hii kitu kiukweli umenipa kitu kipyA🙏
 
Nimechekaaa hadi napaliwaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulijuaje kumuweza huyo baba, sijui ana hali gani huko aliko khaaah.

Yaan ulijua kumfurahishaaa.
 
Kumbe ulinitukana na sijaona. Marekani haijaendelea kisa ushoga Wala haikukubali ushoga ilivyopata Uhuru Ila ni juzi juzi tu. Marekani na nchi nyingi zilizoendelea Hadi china Korea Japan Malaysia zimeendelea kwa sababu zimekubali kuendelea kutokana na Sayansi na technology na sio kujifunga akili na kuwa vipofu wa ukweli wa dunia Kama waafrika kazi kukesha kwa wanganga na wachungaji na kutapeliwa tu ndo maana wazungu wanakuja kututapeli pia coz washatujua sisi wajinga. Mambo unayofanyaga wewe ukifirwa cjui kumwagiwa ndani hayo ni yako hayanihusu na dada ako Kama anapigwa nyuma na huyo mama ako pia akakunya wewe sawa ..huyo ni wewe. In short kuwa na heshima na utoe hoja matusi hata kichaa anayo Ila hoja ni za watu wenye akili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…