Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

W
Wanafuta kisa naongea ukweli. Wanyama wanafanya ushoga wapo. Proof zipo ..watu wanasema hoo it's not natural wanyama hawafanyi haya wanafanya jiteteeni sasa
Na ww ni shoga?mbona kama una dalili za kuwa ni shoga
 
Mimi nimekutukana?nionyeshe tusi liko wapi hapo ktk post yangu
 
Why inapambwa Sana wakati Kuna matatizo yamsingi yanayo affect maisha yetu kiuchumi kiafya kielimu na kimaendeleo. Tunakaa kupigiana kelele kuhusu vitendo vya chumbani wakati 2019 bando nanunua buku 1GB now GB moja 2500
Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kudhani kuwa hayapo. Ushoga kwa takwimu zilizopo tayari ni janga kubwa tu, linastahili kuchukuliwa hatua ndio maana unaona linapigiwa kelele.

Kuwepo kwa matatizo hayo mengine uliyotaja haina maana yafumbiwe mengine yaliyopo au yatakayokuja.
 
We umeona ime trend wapi au umejiskia tu kuanzisha mada za ki cocastic?
Yaan wee mwanaume mda wote unaniwazaa tyuuh, jamani sitaki mie nna basha wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wee mda wote unanitaja unadhani ntakupa kitobo kimasikhara thubutuuu, hiki ni halali kwa basha wangu tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Vipi kwemaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna jibu.
Basi kuna tatizo mahali ni mtu mwenye roho mbaya sana pekee anayeweza kushangilia mada za mtoto wa kiume kufirwa kama yeye sio mfiraji au mfirwaji. Kama kweli wewe sio shoga au mfiraji basi inaonekana una tatizo pengine kubwa sana. Ni wafirwaji na wafiraji tu mnaofurahia hizi topic za ushoga, na kwenye hii thread mpo kama watatu mnapeana support za kipumbavu. Kwa mwanaume ambaye ni rijali asiyetegemea mtoto wake wa kiume apachikwe bolo mkunduni hawezi kushabikia topic za namna hii. Hata mwanamke anayetegemea siku moja azae mtoto wa kiume.
 
Huu ni upotoshaji,… tafuta maarifa kabla ya kupost mkuu. Hapo hawafanyi hicho unachokifikiria wewe.
Hawa Kuna kitu wanajaribu ku promote lakini wapo kwenye jamii tofauti isiyo yapa promo mambo ya ushoga. Wamepotea njia. Pitia thread yote utanielewa.
 
Hawa Kuna kitu wanajaribu ku promote lakini wapo kwenye jamii tofauti isiyo yapa promo mambo ya ushoga. Wamepotea njia. Pitia thread yote utanielewa.
Wanapaswa kupimwa akili manake huwezi ku act against nature, na wanatumia nguvu nyingi kweli kweli.
 
Dah nimekosea wapi had umeiona? Nlitaka ipite kimya kimya
 
Duuh [emoji1787][emoji1787]
 
Ushoga ni matokeo ya shida ya akili. Mwanaume Smart hawezi kuwa shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…