Battor
JF-Expert Member
- Mar 21, 2019
- 2,208
- 3,986
Proof ni kwamba there’s no such a thing kwa animals. Mnyama aishie mwituni akila chakula kwa jitihada zake mwenyewe hawezi kuwa na hizo tabia unazotaka kuhalalisha hapa.Nani amesema Mimi nimeenda wapi. Stop attacking the person instead of the argument. Toa hoja tembea. Leta proof kwamba there is no homosexuality in animals. Coz hio Ni Wikipedia page kasome upate elimu hutaki acha.
Ukiona hivyo basi ufanye tafiti za kina utagundua kuwa huyo mnyama anamtegemea binadamu kwa njia moja ama nyingine ili aweze ku survive, na binadamu wenye ajenda hizo hawashindwi kitu, wanaweza kutumia chakula ama njia yeyote ile kujaribu kubadilisha hormone za hao wanyama ili mradi tu wakamilishe adhima yao.