Thibitisha kutokuwepo kwa MunguThubitisha uwepo wa Mungu??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usilete story zako za kutunga hapa.
Thibitisha kutokuwepo kwa MunguThubitisha uwepo wa Mungu??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usilete story zako za kutunga hapa.
Mi sijacopy chochote. Ndo maana mbwa anakula watoto wake lakini huwezi sema tufanye hivyo coz it's nature. That's my point. Hoja ya nature ni ya uongo.T
Sawa kalia unachokijua wewe manake umeshindwa kufanya tafiti umekomaa kukopi kila unachokiona.
Nature ni all living and non living things. Hilo jengo limejengwa na mchanga cement ambayo Ni limestone rangi ambayo Ni mafuta which comes from organic matter. Everything is nature. We ndo urudi shule. Kwa Nini ukitupa taka barabarani unaambiwa unachafua mazingira. Soma environment topic kwenye geography darasa la tatu alafu urudi huku.Kama umediriki kusema kwamba….
“ Nature is everything around us. Plants animals buildings stars zote hizo”.
Kwamba hadi buildings ni nature, sina cha kukusaidia🤣 go back to school. Tutaonana muda mwingine. I’m out.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaahCocastic[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe dawa yako ni ndogo sana mamaaa
Huu ndio uthibitisho kuwa Mungu yupoo??Umwonaye hapo kwenye picha ni binadamu kama wewe na mimi aliyekwama chini ya kifusi cha udongo kwa zaidi ya miezi mitatu na amekutwa akiwa hai, sasa ebu nipe sababu za kisayansi zitakazokinzana na uwepo wa Mungu kwa tukio hili then mie nitaanzia hapo kukujibu .
Hayupo ndiyo kwa sababu haonekani.Thibitisha kutokuwepo kwa Mungu
Hii Ni sababu ya kijinga Sana. Watu wamekufa kwenye kifusi hicho hicho Ila mmoja kasurvive hence mungu yupo. Kama hujui kitu kaa kimya. Huyo Mungu si aokoe watoto million wanaokufa kwa njaa kila mwaka Kama ana haya maajabu kuliko kuchagua mtu mmoja mmoja. Kitu usichokielewa usimpandikize Mungu. La sivyo unamfanya huyo Mungu wako aonekane mchoyo na mbaguzi. Mtu akifa Mungu kamuita asipokufa Mungu kamuokoa Akiwa kilema Mungu kamuepusha kifo Akiwa mzima Mungu kambariki. Hebu tumieni akili na ulete hoja ya msingi. Coz hii hoja ni ya kijinga. Mungu awepo asiwepo bado watu watakufa na Kuna watu watapona. So sio uwepo wake. Mbona katuacha tokea enzi za kuongea kwa miti inayoungua na tumeenda freshi tu bila yeye na story za wayahudi za watoto.Umwonaye hapo kwenye picha ni binadamu kama wewe na mimi aliyekwama chini ya kifusi cha udongo kwa zaidi ya miezi mitatu na amekutwa akiwa hai, sasa ebu nipe sababu za kisayansi zitakazokinzana na uwepo wa Mungu kwa tukio hili then mie nitaanzia hapo kukujibu .
Kwani kuna njia ngapi za kuthibitisha uwepo wa jambo mbali na macho kuonaHayupo ndiyo kwa sababu haonekani.
Sasa wee km yupo mlete hapa tumuonee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo unaujuaji usio na faida. Mi nazungumzia nature we unazungumzia mazingira.Nature ni all living and non living things. Hilo jengo limejengwa na mchanga cement ambayo Ni limestone rangi ambayo Ni mafuta which comes from organic matter. Everything is nature. We ndo urudi shule. Kwa Nini ukitupa taka barabarani unaambiwa unachafua mazingira. Soma environment topic kwenye geography darasa la tatu alafu urudi huku.
SawaHii Ni sababu ya kijinga Sana. Watu wamekufa kwenye kifusi hicho hicho Ila mmoja kasurvive hence mungu yupo. Kama hujui kitu kaa kimya. Huyo Mungu si aokoe watoto million wanaokufa kwa njaa kila mwaka Kama ana haya maajabu kuliko kuchagua mtu mmoja mmoja. Kitu usichokielewa usimpandikize Mungu. La sivyo unamfanya huyo Mungu wako aonekane mchoyo na mbaguzi. Mtu akifa Mungu kamuita asipokufa Mungu kamuokoa Akiwa kilema Mungu kamuepusha kifo Akiwa mzima Mungu kambariki. Hebu tumieni akili na ulete hoja ya msingi. Coz hii hoja ni ya kijinga. Mungu awepo asiwepo bado watu watakufa na Kuna watu watapona. So sio uwepo wake. Mbona katuacha tokea enzi za kuongea kwa miti inayoungua na tumeenda freshi tu bila yeye na story za wayahudi za watoto.
Cheka kwa raha zako mamaaHuu ndio uthibitisho kuwa Mungu yupoo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sitaki kucheka hapa.
Dawa yako ninayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaah
Kwa definition yako hii hii binadamu anaweza akawa kitu au akafanya kitu na kisiwe nature?Tatizo unaujuaji usio na faida. Mi nazungumzia nature we unazungumzia mazingira.
Kwa kifupi ni kuwa nature haitegemei uwepo wako ili iexist, nature ipo hata mwanadamu asipokuwepo.
Ukitaka kuelewa mambo kuwa humble usikaze fuvu kana kwamba unajua kila kitu.
Unajuaje kama lilijua kabla ya walimu!Jeshi limejuaje kabla ya walimu.
Majibu yako yanakuvua Nguo. ChutamaJamani hivi huna akili au. Sijasema mimi mnyama. Nimeclarify fact ambao watu hujaribu kusema kwamba hamna wanyama mashoga. Wanyama mashoga hao hapo so mtoe sababu zingine za maana
Naona huna hoja. Poa poa mwanangu. Mwingine?Majibu yako yanakuvua Nguo. Chutama
Well narrated mkuu [emoji109]Haya mambo yana uhusino mkubwa na sera hizi za kucopy kutoka mataifa ya kimagharibi.
Ukianzia mambo ya haki sawa yamechangia sana hili janga. Vijana wetu wanakutana na mabinti wanaowaonyesha viburi na jeuri hadi wanakosa mood ya kuwa na wanawake sababu ya kuepuka rejection na kero za kudeal nao wanaona watafute affection kwa wanaume wenzao.
Malezi especially ya single mothers. Wanawake wanalea watoto kimahaba sana. Mabusu kibao na kukumbatiana kama nyani muda wote. Mtoto wa kiume hii inamfanya awe laini na kushindwa kudevelop vizuri male traits ndani yao wanabakia kuwa soft ndani ya nafsi. So wakimiss yale mahaba ukubwani wanajikuta wanaliwa na wanaume wenzao wanaojua kubembeleza.
Mwanamke akilea mtoto bila baba around impact mojawapo ni kutoa picha ya uanaume katika akili ya mtoto yule. So akikua anakuwa hana ajualo kuhusu kuwa mwanaume kwa mwanamke wake so anajikuta anavutiwa na wanaume wenye traits za kiume.
Madogo wengi wa miaka hii hawajui tofauti ya kuwa mwanaume au mwanamke. Maana hata nguo za siku hizi wanavaliana wa kike na wa kiume. Tazama akina rayvan, wanavyosuka nywele kama dada zao. Sasa Madogo wa sampuli hizi umuweke meza moja na Mimi kwann asijiskie dhaifu na kuomba niwe mume wake.
Sera za kiserikali especially maeneo ya Afya na chakula napo ni pa kutazama. Chakula ni silaha nzuri sana ya kujenga taifa lolote.
Tokea miaka ya 1990s serikali na wizara husika wamekuwa very careless kuhusu raia wao vyakula wanavyokula, dawa wanazotumia, mambo ambayo yanachangia sana mabadiliko ya kitabia. Mfano Tazama vyakula vinavyotokana na mbegu za kisasa (GMO).
Tazama mabinti wanavyobwia P2 kila siku, hizi dawa zinawavuruga mzunguko halisi wa uzazi na kudisturb msawazo wa hisia.
Ndio Maana unaweza kushangaa mabinti wa siku hizi especially hawa kuku wa bloiler (mabinti wa mijini) wengi hawana hisia, Labda akuone na hela na hapo tamaa ya hela sio mahusiano.
Naturally vitu vinavyomvutia mwanamke ni Jasho, mchoro wa kidevu cha mwanaume, pua, kifua, gardenlove, sauti nzito, wingi wa ndevu, misuli ya mikono, etc. Ila mabinti wa kisasa hawapo responsive na hizo features wanataka mwanaume soft, mpaka poda, sauti, mwanaume ambaye hata Mimi nikimuona nadinda nataka nikamgegede, why wanaume sasa wasianze kulana na kundi kubwa wanaanza kulainika?!
Kuna mengi sana nyuma ya pazia ila yote inachangiwa na sera za serikali kwa raia.
Yeye mwenyewe ni shoga na kafa hana marinda j-m..u..ro ndo.alikua basha wakeHili ni janga. Ni tatizo la muda mrefu. Lemutuz aliwahi sema kuna rafiki yake shoga aliolewa na mkuu wa uhamiaji wa miaka hiyo. Yaani balaa tupu.
Una uhakika?Yeye mwenyewe ni shoga na kafa hana marinda jery muro ndo.alikua basha wake
Jamani tuache kudhalilisha watu kwa mambo ya kubashiri.Yeye mwenyewe ni shoga na kafa hana marinda jery muro ndo.alikua basha wake