Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena huyu ushg miaka nenda rudi ameupigia promo....Mbona Joti hakamatwi na Madera yake?
Ukifuatilia vifungu vya mataifa hayo ni less than five years....hiyo ni miachache sana kusema taifa lipo serious kupinga jambo hilo...tena mengine yamesema kiwepesi tu eti "it's illegal" ...are they serious??
Huyo naye anatafuta Kiki tu ameacha lini kugegedwa?Hatari Sana hii kwamba ni bora kula wakubwa kuliko kulegeza watoto!
Lakini nabii Tito mlipuuza?View attachment 2585569
Ki watu wanavyozidi kuzungumzia ndivyo wavyozidi kuutangaza ingekuwa vema mikakati thabiti iwekwe kuliko kila mtu kulalamika. Wazazi na walezi wana jukumu maalumu kwa kuanzia kisha viongozi wa dini na sheria thabiti na utekrlrzajiPublicity za ushoga zimekuwa nyingi sana nw days
Inawezekana kabisa hili ni mwendelezo wa ule uchunguzi wa Mwakyembe maana asasi mojawapo ilitajwa kutokea hukuJeshi la polisi mkoa wa Njombe limebaini uwepo wa wanafunzi wenye umri wa chini ya miaka 17 wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja katika shule ya sekondari Yakobi iliyopo mkoani humo.
Jeshi la polisi limeweka kambi katika shule hiyo na linaendelea na uchunguzi zaidi.View attachment 2585683
Kumbuka uchunguzi ule wa Mwakyembe haya ni matokeo yakeJeshi limejuaje kabla ya walimu.
Hee Yakobi tena! mana nikajua mjini kumbe bush huko, Njombe vijijini, Je! shule za mjini pamoja na baridi lile itakuwaje?"Jeshi la polisi mkoa wa Njombe limebaini uwepo wa wanafunzi wenye umri wa chini ya miaka 17 wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja katika shule ya sekondari Yakobi iliyopo mkoani humo.
Jeshi la polisi limeweka kambi katika shule hiyo na linaendelea na uchunguzi zaidi"View attachment 2585683
SadHii ilikuwepo mda Sana we SEMA technologia ndio ime expose