proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Watoto wameisha akili zimeishia kny ngono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wameisha akili zimeishia kny ngono
Ile report mkuu inaakisi ukweli alitaja NGO moja inayo deal na mambo ya upinde.Kumbuka uchunguzi ule wa Mwakyembe haya ni matokeo yake
Nahic kuna vitu wanapewa vya ku imbalance hormone acha uchunguz uendelee.Watoto wameisha akili zimeishia kny ngono
Kuna nesi mmoja alijaribu kukusanya data akakuta watoto wadogo wa darasa la 3 vijokoleo vimeisha wakati mwingine hata hizi nyumba za kupanga ni shida unapiga mashine anasikiliizia miguno ya mapenzi, unasikia kesho Yake mamaaa mbona ulikua unalia Jana usiku na kitanda kinalia kweche kweche kweche kweche.Nahic kuna vitu wanapewa vya ku imbalance hormone acha uchunguz uendelee.
PM me please
Mkuu,Katika hii kadhia inayopamba moto kujadiliwa, ya wanaojihusisha na mapenzi wa jinsia moja, nadhani inaegemezwa mno kwa wanaume, wanaopewa jina la "mashoga"...
Jana na leo nimeona maoni mapya yakiwagusa wasanii wanaoigiza kwa kuvaa mavazi ya kike, hasa madera na wigi na bambataa....kuwa wanaharibu watoto wa kiume.
Lakini hadi sasa sijasikia kuongelewa hawa wanajiita "Tom Boys" ambao nao wanaongezeka kwa kasi, na wamejaa kwenye mpira wa miguu wa wanawake, mabinti wana swaga za kiume, wanavyovaa, wanavyoongea hata kuongea. Unaweza kudhani ni binti na mvulana kumbe ni binti na binti.
Je, hatuoni athari ya hawa kwa binti zetu? Maana hili pia halipo katika utamaduni wetu.
Siku moja ilitokea kukatiza uwanja nyuma ya shule ya Msingi Boma, Ilala, mbele yangu palikuwa na wakina Mama wawili, wakawa wanalalamika, wanasema huu ni ushetani...hapo pikuwa na wasichana wanapiga boli.
Hii pia naona kikwazo kinaweza kufanya familia zingine zisiwaruhusu binti zao kujiunga na mpira wa miguu.
Ebwana ina maana difenda zipo hapo 24/7"Jeshi la polisi mkoa wa Njombe limebaini uwepo wa wanafunzi wenye umri wa chini ya miaka 17 wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja katika shule ya sekondari Yakobi iliyopo mkoani humo.
Jeshi la polisi limeweka kambi katika shule hiyo na linaendelea na uchunguzi zaidi"View attachment 2585683
Si huwa mnasema wanawake wako wengi kuliko wanaume sasa mnasumbuka na hao tomboys wachache wa nini, wakati wenye haiba za kike wako wengi tu na hawajaolewa, hao waliokakamaa wala hawajawashikia mapanga muwaoe ninyi oeni wenye hizo haiba za kike tu simple as thatJamii yetu imechanganyikiwa na mambo ya ushoga na usagaji haijui ni nini vivutio na na vichocheo vyake. Sasa kama hawa mabinti wanaocheza mpira wa wanaume jinsi wanavyovaa na kunyoa na jinsi miili yao ilivyokakamaa kutokana na mazoezi ya mchezo huo ukiwatizama unaona kabisa wale ni wasagaji, hawana haiba za kike na hawaoleki wale. Lakini tunafurahia maendeleo ya mpira wa miguu kuchezwa na wanawake kumbe kuna ushetani mkubwa ndani yake. Wanawake gani wale hawana haiba za kike? Wamejiweka kiume zaidi kuliko kike, ni ma tom boys lakini jamii inajifanya haioni huko,inaona ni maendeleo makubwa kwenye soka la wanawake. Jamii imekuwa na unafiki mwingi kuhusu ushoga na usagaji, inataka kunywa maji safi huku haitaki kuchafuka na tope yanakotoka maji safi. Ndoana ndani ya chambo jamii imenaswa
Nimesikitika kuona Wabunge wanalilia kupimwa Marinda, wake kwa waume kabla ya kuingia bungeni, nikawaza hawa ndio walichaguliwa na Wananchi wao na wanawategemea wawakilishe shida zao lakini nikapata uchungu zaidi nilipokumbuka kodi zetu ndio zinawapa huo utaahira wa kuongelea ujinga na kuacha mambo ya maana,Hoja ya ushoga bungeni,isiwe sababu ya kufifisha mjadara wa waliokwiba hela,naona wabunge wamesha nasa humo,hatutaki nasema hatutaki,tunataka wezi wafungwe na wafirisiwe,ushoga kila mtu atajijua mwenyewe,hakuna anaeweza kumbadirisha mtu,ongeleeni wezi,
Tomboys na hao Wavulana hua wana bifu lao la kimya kimya si umeona hapo kasema walikua wananyang'anyana mabinti [emoji38]Si huwa mnasema wanawake wako wengi kuliko wanaume sasa mnasumbuka na hao tomboys wachache wa nini, wakati wenye haiba za kike wako wengi tu na hawajaolewa, hao waliokakamaa wala hawajawashikia mapanga muwaoe ninyi oeni wenye hizo haiba za kike tu simple as that
Watz wengi wana ubongo mdogoNi JPM huyu huyu ambae wizara yake ya mambo ya nje ilitoa tamko kumkana Makonda dhidi ya vita yake ya Ushoga baada ya wafadhili kuanza kukata misaada? Ni JPM huyu ambae waziri wake Kangi Lugola alisema hadharani kwamba mashoga wapo salama nchini na hawatoguswa? Ni JPM huyu huyu aliemuhakikishia Makamu wa Rais wa Benki ya dunia kuwa mashoga hawatoguswa? Nahisi sisi ni wasahauilfu sana. Nimeambatanisha evidence chini sije mkasema nimetungaView attachment 2586357View attachment 2586358View attachment 2586359