Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
hawa jamaa ni wapumbavu saana sanaKulwa Jilala Magonjwa Mtambuka USSR FaizaFoxy Crimea Mbaga Jr na waeneza propaganda wengine habari hiyo hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa jamaa ni wapumbavu saana sanaKulwa Jilala Magonjwa Mtambuka USSR FaizaFoxy Crimea Mbaga Jr na waeneza propaganda wengine habari hiyo hapo
Ngoja waweke kigodoroNikweli tunakataa ushoga ila mbona mtaani wamejaa na hatuwafanyi kitu na wanajulikana...
Ifike pahala tuache unafiki na thread za kichochezi,kama hili jambo linakuuma inatakiwa tusikie umemuua shoga hapo mtaani kwako...
Sio kila siku makelele humu mwisho mtakua kama mnapromoti ushoga...
Leta alichoongea hapaMbona akiwa belgiji au bbc huwa anaongea tofauti?
Alisemaje? Weka clip tusikie. Sijawahi kumsikia Lisu akisema anaunga mkono ushoga.Mbona akiwa belgiji au bbc huwa anaongea tofauti?
Hapo namba 1 ndiyo panawaponza wengi,huwa wanajiona wajanja wanavyotukamua shilingi...1. Kuchuna hovyo Wanaume halafu mkikutana mnawateta na Kuwacheka.
2. Kuwachanganya / Kuwagonganisha Wanaume.
3. Tamaa Kupindukia zinazokuwa Kero.
4. Dharau, Sanifu na Unafiki wao dhidi ya Wanaume.
5. Kupiga Mizinga ya hovyo na isiyo na Utaratibu.
6. Uwongo na Umbeya ambavyo ndiyo Tunu Kuu ya Wanawake wengi kama siyo Wote.
7. Usaliti / kutokuwa Waaminifu Kwetu na Kutoridhika.
Tafadhali Wanawake wote sambazianeni hizi Sababu zangu Kuu Saba ( 7 ) GENTAMYCINE zinazopelekea baadhi au wengi Wenu Siku hizi Kupelekewa Moto ( Kunukudiwa ) mno na Wanaume ambao hawataki mzaha, hawataki Kufanywa Wajinga, Kusumbuliwa na Kupotezewa muda.
Badilikeni upesi yasiwakute haya Ok?
Hiyo BBC aliyoongea weka hapa tarehe kwani BBC hawafuti kitu, tukiingia BBC kwa tarehe uliyotupa tutakikuta unachodai, weka hapa acha porojo.Mbona akiwa belgiji au bbc huwa anaongea tofauti?
Acha ujuaji weka hapa tarehe alipozungumza na BBC, BBC huwa hawafuti kitu .Kinyonga
Lesbian/Queers utawajua tuUshoga upo tangu enzi za Sodoma na gomola. sasa ww unafactor zipi za kuongezeka miaka michache ijayo
Shundwa Shetwain LGBTQHomosexuality ni suala la muda tujiandae tu kisaikolojia
Wanaowakula hao wanaume ni wanaume kutokea wapi? Ina maana hao 2 ndio wanawakula hao 8 wote jumlisha na wake zao? Hii mada inatisha sana na inafikirisha..Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar
Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar
Sidhani kama kuna mtaa dar ambao hauna mashoga mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake haonekani kama ni shoga wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao
Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia ukimuona unasema ni kidume wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao
Hapa ofisi nayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu
Sijui kama miaka michache kutakua na wanaume marijali wengi itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8
Hali ni mbaya sana hapa Dar kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar hivi tatizo ninini? Yaani limekuwa ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume, Mungu nilindie kizazi changu uwiii wanaume kwanini hivyo lakini?
Ndio maana nikasema, Uongozi maana yake ni kuwaongoza watu kwa kutumia HEKIMA na BUSARA .....Hekima ni kwà ajili ya kugusa UTASHI wa watu , na Busara ni kwà ajili ya kuzishika FIKRA za watu.
Nafikiri, kwakua Mama alitumia Busara PEKE yake katika kuliongelea suala hilo, ndio maana mtizamo wa watu wengi wameona kama anaunga hoja au anakubaliana na masuala hayo ya USHOGA..la hasha!!!
Rais wetu ni Muislam grade A, amekulia katika uislamu pale MWANAKWELEKWE..hayo mambo hawezi kamwe kukubaliana nayo ..abadan...
Hayo mambo kwake ni Haram .... astakafirura!!!
Mbona mashoga kitambo wapo tuMambo hayo ni haramu kwa mujibu wa sheria za Allah, sasa Mama alipaswa ampendeze Allah kwa kutamka hadharani kwamba Ushoga ni haramu na hautakiwi nchini kwetu potelea mbali akiwaudhi "Watu" lakini ampendeze Allah huku akijua ni Allah ndiye humpa mtu Uongozi kama huo alionao.