Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

1684484152314.png
 
Ni ngumu kumkuta mtoto aliye lelewa maisha magumu anakua shoga. Mashoga wengi wanatokea familia za kishua na sababu kubwa ni malezi ya kudekezwa dekezwa na kulembwa lembwa. Usenge sana
Hizo tafiti huwa mnazitoa wapiii? Mashogaa machokambayaa na walio kulia ktk dhiki na shida wapooo teleee, aliye waambia ushoga unatokana na ushua nani??
 
Huwezi kutenganisha unafiki na wabongo, wanaume wana walaumu wanawake wanakuza ushoga na ku support, ili hali watengenezaji wa ushoga ni wao wanaumee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaume acheni kulana wenyewe kwa wenyewe na ushoga hautakuwepo, mchana mnawachukia na kuwatenga, usiku mnakua nao 0 distance mna pumuliana na kuhemeana afu lawama kwa wanawake, serious??

Hao watoto wa kiume wenye hulka na silka ya kike, muwaache hivyo msiwatongoze mbna ushoga hautakuwepooo.

Mabashaa ndo tatizo LA ushogaa. Kuweni wazii tyuuh.
 
Sababu ya kwanza na ya pili nakataa ila hizo zingine upo sahihi kabisa, hasa hiyo ya mtoto Wa kiume kulelewa na single mother aise Yani hili ni hatari sanaa siku zote watoto wa kiume huwa tunawaogopa Baba lakin mama mara chache kumuogopa sabab mama siku zote hulea mtoto kimayai yan kimama mama so mtoto analelewa kimama mama mwisho wa sku ndo kama hivyo tunampoteza lakin Baba anapokuwepo kidogo mtoto anakua na heshima pia baba anatufundisha uanaume, ujasiri pamoja na mamuzi ambayo mtoto Wa kiume inabidi uwe nayo lakin, pale ambapo uwepo wa Baba unakosekana ndo haya tunakuja kukuta wanaume wanakosa mamuzi kabisa katka Jamii wengine hata ile nidhamu (heshima) haipo, ulevi kuongezeka, na hta mda mwingine mtoto anakataa shule lakin akiwepo Baba akitoa tu sauti mtoto anatetemeka

Mengine bila kumuomba Mungu haiwezekani ila kiufupi kizazi Cha single mothers ni hatari kwa siku zijazo
 
Nakubaliana nawe %101, nina ushahidi wa hili kutoka kwenye familia yetu
 
Wanaume wanaokula wanaume wenzao watu wa kwanza kusababisha ushoga ni nyie na najua hata humu mpo na mtasoma hapa. Huwez kuniambia wanawake kuwa karibu na mashoga ndio tunasababisha waendelee kuwepo labda nihoji wanawake ndio tunawalala mashoga? Mkiacha kuwalala wanaume wenzenu na ushoga utaisha.
 
Huwezi kutenganisha unafiki na wabongo, wanaume wana walaumu wanawake wanakuza ushoga na ku support, ili hali watengenezaji wa ushoga ni wao wanaumee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaume acheni kulana wenyewe kwa wenyewe na ushoga hautakuwepo, mchana mnawachukia na kuwatenga, usiku mnakua nao 0 distance mna pumuliana na kuhemeana afu lawama kwa wanawake, serious??

Hao watoto wa kiume wenye hulka na silka ya kike, muwaache hivyo msiwatongoze mbna ushoga hautakuwepooo.

Mabashaa ndo tatizo LA ushogaa. Kuweni wazii tyuuh.
Mkuu umeongea sentence [emoji3447]
 
Back
Top Bottom