Lukaku marata
JF-Expert Member
- Dec 4, 2019
- 449
- 752
Dah
Mimi nimenunua sana malaya wengine walitaka kunipa mitaro lakini hapana aisee
Nahisi nikiha kufukua tope nitajuta sana siku zote sasa hivi ninaogopa sana manake naona kama ni dhambi kubwa
Nimefanya uhuni na ufuska mwingi ila sio kuja kumhemea mwana aisee
Dhambi ni dhambi mkuu,usijisifu kwa kula malaya wa kununua halafu unawadiss mashoga…you are on the same boat bro