National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
Hakuna shoga alie umbwaa.. tumia akili zako kwa usahihina mungu huyo huyo ndo aliumba mashoga,
haeleweki kwa kweli
Hakuna shoga alie umbwaa.. tumia akili zako kwa usahihina mungu huyo huyo ndo aliumba mashoga,
haeleweki kwa kweli
wanaumbwa halafu wanakengeuka,Hakuna shoga alie umbwaa.. tumia akili zako kwa usahihi
Binadamu ana utashi wake.. ndio maana anaweza mtu kuamka akaamua hiki na kuacha kile.. Mungu sio tahira, hakuumba *****.. kaumba mwanamdamu.. kampa utashi.. wa kuchagua baya na jemaa.... Kuna machoko humu wanafurahi kabisa uchoko wao.. na wengine wanapinga na ukitaka kujua uchoko ni chukizo hata jamii zetu uswazi hazitaki.. ndani yako unahukumiwa hata kama huamini Mungu.. ndio ujue jambo la kingese.. wapo wasio amini Mungu ila huwezi wapa habari za machoko wakakuelewawanaumbwa halafu wanakengeuka,
sasa kama hawajaumbwa wanatokea wapi😂
Hukumu ilikuwa papo kwa papo wakati wa Agano la Kale,muda ambao Mungu aliuta wakati wa ujinga.Sasa Mungu anataka tuwaombee waovu,ili nao wapate nafasi ya kutubu na kuokolewa.Bwana Yesu alionyesha mfano wa jambo hili Yeye mwenyewe.Mungu huyu huyu alitumia wafalme kuwanyoosha wafilaji.. na ilifikia kipindi Mungu huyo huyo alishusha moto sodoma.. Mtu akipata ka mpenyo ka kumtia kiberiti shoga sawa tu
ila mimi naamini mtu haamui kuwa shoga,Binadamu ana utashi wake.. ndio maana anaweza mtu kuamka akaamua hiki na kuacha kile.. Mungu sio tahira, hakuumba *****.. kaumba mwanamdamu.. kampa utashi.. wa kuchagua baya na jemaa.... Kuna machoko humu wanafurahi kabisa uchoko wao.. na wengine wanapinga na ukitaka kujua uchoko ni chukizo hata jamii zetu uswazi hazitaki.. ndani yako unahukumiwa hata kama huamini Mungu.. ndio ujue jambo la kingese.. wapo wasio amini Mungu ila huwezi wapa habari za machoko wakakuelewa
Agano la kale, halijatenguliwa na agano jipya, isipokuwa limekuwa bora zaidi.. na ndio maana unaona kisago cha endtime ambapo tunasema agano jipya ni kikali zaidi kuliko agano la kale.. Mtu akipata mpenyo usiomtia hatiani.. nikumchoma moto paka afe.. Kama msomaji mzuri wa maandiko nyakati hizi ni za kisasi.. but upendo unatangulia.. ila uwepo wa upendo haundoi ghadhabu na hukumuHukumu Ilikuwa papo kwa papo wakati was Agano la Kale,muda ambao Mungu aliuta wakati wa ujinga.Sasa Mungu anataka tuwaombee waovu,ili nao wapate nafasi ya kutubu na kuokolewa.Bwana Yesu alionyesha mfano wa jambo hili Yeye mwenyewe.
.. Ushoga ni tabia yenye tendo mabaya.. ( maamuzi kabisa ) , ni kama mtu mnywa pombe anaweza amaua kunywa na kuacha.. ndivyo kwa ***** pia.. anaweza amua au asiwe..ila mimi naamini mtu haamui kuwa shoga,
huwezi kuamua kua shoga na unajua kabisa utatengwa na unaweza kuuawa....
hii mada inanichanganya kwa kweli,
na naskia mtu akishakua shoga hawezi kubadilika tena
Ni Shetani anayemfanya mtu awe shoga mkuu,Mungu sio mwanadamu hata aseme uongo.Ni kama vile mtu kuwa mzinzi au muongo tu.Uzuri ni kwamba ukimuamini Bwana Yesu anakupa uwezo wa kushinda.ila mimi naamini mtu haamui kuwa shoga,
huwezi kuamua kua shoga na unajua kabisa utatengwa na unaweza kuuawa....
hii mada inanichanganya kwa kweli,
na naskia mtu akishakua shoga hawezi kubadilika tena
sio kweli.asilimia 40 au 30 ya vijana wa kitanzania kwasasa ni mashoga
Harafu kama na ww upo maana unanitia wasi wasisio kweli.
ukija na takwimu za kushtua kama hizi, basi uje na ushahidi
Hapana mkuu,yapo mambo ambayo yaliishia Calvary,na hili ni moja wapo,kama vile talaka nk..Nimekupa maandiko ambayo yule mwanamke Msamaria mzinzi Bwana Yesu mwenyewe hakumhukumu,soma tena hapa chini.Agano la kale, halijatenguliwa na agano jipya, isipokuwa limekuwa bora zaidi.. na ndio maana unaona kisago cha endtime ambapo tunasema agano jipya ni kikali zaidi kuliko agano la kale.. Mtu akipata mpenyo usiomtia hatiani.. nikumchoma moto paka afe.. Kama msomaji mzuri wa maandiko nyakati hizi ni za kisasi.. but upendo unatangulia.. ila uwepo wa upendo haundoi ghadhabu na hukumu
tusitumie injili kulea dhambi na waovu.. Nakuelewa.. sanaHapana mkuu,yapo mambo ambayo yaliishia Calvary,na hili ni moja wapo,kama vile talaka nk..Nimekupa maandiko ambayo yule mwanamke Msamaria mzinzi Bwana Yesu mwenyewe hakumhukumu,soma tena.Haya hapa.
Yohana 8:3-11
3 Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati.
Yohana 8:3
4.Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini.
Yohana 8:4
5. Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje?
Yohana 8:5
6. Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi.
Yohana 8:6
7. Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.
Yohana 8:7
8.Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi.
Yohana 8:8
9. Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati.
Yohana 8:9
Tatizo ni kwamba hukumu zetu,si za haki,ndio maana Mungu amekataza tusihukumu.Naomba usome maandiko yafuatayo.
Mathayo 7:1-5
1 Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.
Mathayo 7:1
2 Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa
Mathayo 7:2
3 Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?
Mathayo 7:3
4 Au utamwambiaje nduguyo, Niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe?
Mathayo 7:4
5 Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.
Mathayo 7:5
Mtaani au unadhani wanaishi mbinguni?Ulikutana naye wapi?!Very questionable.
Sio sahihi, hukumu ya Mungu ni mwisho wa Dunia ila Kwa Sasa ni kipindi cha neema ndio maana watu Wana madhambi ila hakuna Cha gharika Wala moto Wala magonjwa kama tauni n.k.Mungu huyu huyu alitumia wafalme kuwanyoosha wafilaji.. na ilifikia kipindi Mungu huyo huyo alishusha moto sodoma.. Mtu akipata ka mpenyo ka kumtia kiberiti shoga sawa tu
Haya mkuu.Mtaani au unadhani wanaishi mbinguni?
Hapana mkuu,lazima tutii maandiko.tusitumie injili kulea dhambi na waovu.. Nakuelewa.. sana
Mkuu tatizo ni kwamba watu wameipenda Dunia kuliko kumpenda Mungu,kwa hiyo Shetani anawapepeta kama Ngano.Familia ambazo zimemuamini Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yao,huu ujinga haupo kabisa.Shida mnajuwa nini. Mm wakati nipo mdogo naakili timamu pale kariakoo, mtaa amani na mohoro, tulikuwa tunasikia mambo ya anti omary, shoga omari ila walikuwa wachache na walikuwa wanafanya mambo ya kwa privare. Ndomana sisi tulivyokuwa atujawa au atujapenda mambo ayo ya ushoga. Na chengine tulikuwa na michezo mingi kipindi hicho kidali, kombolela, kupika pika na tulikuwa tunacheza na dada zetu na kaka zetu. Tulikuwa tukicheza tukirudi umechoka kuoga na kulala.
Mambo ya utandawazi yalipo ingia tz. Tukaanza kuwa bize na tv kuangalia cartoon cnn, dtv, cartoon network, kipindi icho tv za analogy.
Sasa kipindi cha 2000 ndo mambo yakaanza kubadilika. Nakumbuka naanza kuangalia porn video nilikuwa na tumia motorola zile za kufungua nilipewa simu home nikakutana na hiyo x. Nadhani asilimia 100 utandawazi ndo umetualibu sana vijana. Kuiga mambo ya nje. Tukasahau tamaduni na michezo yetu yote iliokuwa inatuweka bize kama mazoezi katika maisha yetu.
Lakini sasa hivi. Uwezi kwenda bar ukakosa kukutana na shoga. Na wamekuwa wengi na wengi wengine unakutana na marafiki zako wengi wamekuwa chakula cha wanaume wenzao. Hii inasikitisha sana, kwa maesabu yangu asilimia 40 au 30 ya vijana wa kitanzania kwasasa ni mashoga na wengi wapo machuoni sana. Sijajua shida ni nn ila ndo hvyo tukijipa miaka 10 mengine mbele hali itakuwa mbaya zaidi. Sijui kutokana na maisha. Kuna wengine watakuambia waliingiliwa na ndugu zao kipindi wapo wadogo.
#Tiakiberitituwataisha #RIPJPM
Tutokomeze haya mambo maana mdaa huu mpaka mtaani tupo nao tunaishi nao ila ndo hvyo.
Fanyeni mambo yetu faragha. Au kwasili. Ila shida siku hizi na wao ndo wapo mitandaoni wanatafuta wateja kabisa imekuwa tena jambo la kawaida. Hii mbaya sana kwa taifa la kesho ambalo litakuwa linavaa pampas.
Aisee , kwenu Kwa Sasa wako wangapiMiaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.
Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake, haonekani kama ni shoga, wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao.
Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia, ukimuona unasema ni kidume, wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao.
Hapa ofisi ninayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili, nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu!
Sijui kama miaka michache kutakuwa na wanaume marijali wengi, itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8.
Hali ni mbaya sana hapa Dar, kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura, ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar. Hivi tatizo ninini? Yaani limekuwa ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume. Mungu nilindie kizazi changu uwiii, wanaume kwanini hivyo lakini?
Mkuu nilisha ona mbwa bubu......Ushaona mbuzi au mbwa bubu??