Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Unafahamu kwamba kuongelea haya madude ni njia moja wapo ya kuyasambaza?
Mtu anaweza asijue hata uwepo wa haya madude lakini kitendo cha kuingina JF anakutana na huu uzi ambao umeelezea kila kitu kwa kina kiasi cha kwamba kuna mtu ana hitaji au kuna umuhimu wowote wa kujua kuhusu haya madude. Binafsi sijasoma huu uchafu sababu nitajiharibia siku nishindwe kula.

Acheni kuandika nyuzi kuhusu haya mafala, hiyo ndio itakuwa suluhuisho la kuondoa huu uchafu.

Sent from my G011A using JamiiForums mobile app

Ulichokifanya ni kama kujidanganya kuwa hili tatizo halipo wakati lipo na lina sambaa kwa kasi,ni vyema kulifahamu kiundani na kuchukua hatua stahiki za kukabiliana nalo.
 
Wewe ndio unaeinajisi gemu ya simba, tutafungwa kwa ajili ya huu uzi..

Kuna vitu vingine sio vya kuzungumzia, kuzungumzia ndio kupromote.
 
Waleteni Uganda.
Mzee anatoa hifadhi.
Yoweri-Museveni.jpg
 
USHOGA IMEKUWA KAWAIDA SANA SASA HIVI,NDIO MAANA SHIRIKA MOJA LA KIKOREA LINAITWA GOOD NEIGHBORS TANZANIA LIMEKUWA MSTARI WA MBELE KUTANGAZA USHOGA HUKU KWETU UKEREWE. UKITAKA LIKUPE MSAADA WA ZANA ZA KILIMO NA UVUVI BASI SHARTI NI MOJA TU ANDIKA BARUA UKIELEZA WEWE NI MSHIRIKI WA MAPENZI YA JINSIA MOJA,SIKU TATU HAZIPITI UTALETEWA MBEGU,MBOLEA,MAJEMBE NA ZANA ZA UVUVI BURE. HAPA NDIPO TULIPOFIKIA
 
Mikoa ya Pwani ndio mikoa inayoongozwa na Idadi kubwa ya watoto wa kiume Pilau, watoto wa kiume mchele mchele, watoto wa kiume papai.

Tazama video haina hii hapo chini haina ya watu wanafahamika kwa kichambana na kutumia maneno ya aina hii ni watu wa Pwani.

View: https://www.instagram.com/reel/CyYPdj9qOG6/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==

Niliwahi kukaa mitaa ya gongo la Mboto, maeneo Africasana karibu na chuo cha Kampala. Siku moja niko mgahawani tunakula chakula nikiwa na binadamu yangu na rafiki yake ambaye walikuwa wanafanya kazi wote. Mara akaja Jamaa fulani hivi shombe shombe handsome boy white fulani hivi, akaja na jamaa wawili, huyo jamaa shombe shombe alikuwa ni mnene kimtindo. Basi wakaagiza chipsi kavu pale na vinywaji wakaanza kula, mmoja kati ya wale jamaa akaanza kumlisha chips mwenzake kimahaba. Kwa sababu mimi ilikuwa mara ya kwanza kuona wanaume wakilishana chipsi kimahaba ilibidi niulize kwa jamaa zangu niliokuwa nao maeneo hayo kwamba inakuwaje. Ndipo mkaanga chipsi akadakia na kudokeza kwamba huyo shombeshombe ndio chakula hapo, yani hao jamaa wanamnunulia bia mbili wanaenda kumkaza. Mimi binafsi nilishangaa sana kwa sababu kiukweli mashoga niliwahi kuwaona lakini kwa kuambiwa tu kwamba huyo ni shoga, na kweli Ukitizama pigo zake ni za kishoga... Sukuwai kuona aina ile ya mtindo wa kulishashana... Mimi na kuzaliwa kanda ya ziwa na kukaa mwanza na maeneo jirani kiukweli mitaa hiyo ya kanda ya ziwa ni ngumu kuona shoga, na kama wapo basi ni wa kujificha.


View: https://www.instagram.com/reel/CyfWeKzIEUo/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==

Lakini Mikoa ya Pwani mashoga kiukweli wako nje nje... Pwani ya Kenya na Pwani ya Tanzania kote mashoga nje nje wanajionesha wazi, wanagombania wanaume, wana sherehe zao, yani ushoga ni jambo la kawaida maeneo ya Pwani.

Usukumani na Uhayani nilipobahatika kukaa sana, ni nadra sana kuona Mashoga. Kwanza watakushangaa na kukuona kama umelaaniwa.


SWALI: ni kwa nini maeneo ya Pwani ndio yanaongoza kwa ushoga na kuhifadhi ushoga, au mtindo wao wa maisha ya uswahilini ndio unawabeba hawa mashoga, maana usukumani unaamka asubuhi ni kazi kazi kulima shoga lazima ataacha ushoga tu kwa kazi ngumu zilizoko huko. Lakini pwani shoga anavaa Dela na kupaka lipstick
 
Nahisi wakilala usiku wanakuwa na mawazo ya kuregret sana....maana mwanaume kubinuliwa na kukunjwa na mwanaume mwenzio yahitaji ujasiri sana aisee
 
Nahisi wakilala usiku wanakuwa na mawazo ya kuregret sana....maana mwanaume kubinuliwa na kukunjwa na mwanaume mwenzio yahitaji ujasiri sana aisee
Mtu anayebinuliwa uwezi kumuita mwanaume tena, huyo ashamuwa mwanamke.... Na vile jinsi mwanamke ujisikia baada ya kubinuliwa na huyu ujisikia hivyo hivyo
 
Ogopa sana Uswahili. Maeneo mengi yenye Uswahili mambo ya kishenzi sana ni utamaduni wao. Vigodoro nk
 
Ogopa sana Uswahili. Maeneo mengi yenye Uswahili mambo ya kishenzi sana ni utamaduni wao. Vigodoro nk
Uswahilini kuna kila dhambi... Ushoga, kulogana, umbea, wizi, ufusika na uchafu wote... Kwao kawaida tu
 
Mapenz ya Jinsia moja ni suala binafsi na hufanyika sirini na HASARA au faida (kama ipo) huenda Kwa mtu
binafsi wala si taifa. Hivyo halipaswi kuwa mjadala wa kitaifa.

** Wanaofanya matendo hayo Kwa sasa ni weengi hawatumii sheria Wala Sera yoyote, Kwa hiyo tusipoteze muda na muelekeo, kujadili hoja mfu.

NB: Kama taifa tuwekeze kwenye elimu, teknolojia na afya kwa wananchi.
 
Mapenz ya Jinsia moja ni suala binafsi na hufanyika sirini na HASARA au faida (kama ipo) huenda Kwa mtu
binafsi wala si taifa. Hivyo halipaswi kuwa mjadala wa kitaifa.


NB: Kama taifa tuwekeze kwenye elimu, teknolojia na afya kwa wananchi.
Uibaji wa kura tunaousema ni suala la siri halifanyiki hadharani kwa hiyo lisijadiliwe ?

Rushwa ni suala la siri halifanyiki hadharani,kwa hiyo lisijadiliwe ?

Utekaji ni suala la siri,linafanyika hadharani,kwa hiyo lisijadiliwe ?
 
Mapenz ya Jinsia moja ni suala binafsi na hufanyika sirini na HASARA au faida (kama ipo) huenda Kwa mtu
binafsi wala si taifa. Hivyo halipaswi kuwa mjadala wa kitaifa.

** Wanaofanya matendo hayo Kwa sasa ni weengi hawatumii sheria Wala Sera yoyote, Kwa hiyo tusipoteze muda na muelekeo, kujadili hoja mfu.

NB: Kama taifa tuwekeze kwenye elimu, teknolojia na afya kwa wananchi.
Hayo Mambo yenu huko Mjini Dar es Salaam. Huku Peramiho watu hawawazi kupasuana mitaro bali Kilimo na ufugaji tu
 
Hali ni mbaya sana aisee yaani too much kabisa Taifa linazidi kukosa vijana mashababu hususani maeneo ya Tanga napata ukakasi kwa maeneo ya Tanga kumtambua kijana shababu ni yupi au kijana mchere mchere ni yupi yaani hali ni too much sanaa aiseee

Nenda maeneo kama pale sabasaba au kule Castala villa utakuja vijana wengi wa kiume wamevaa kikuu na then watu wa pale wanajiuza eti vijana wa kiume wapo kabisa kwenye msururu eti.wanajiuza eti sio poa kabisa

Asilimia kubwa vijana wengi wa Tanga wanapakuliwa aisee sijui viongozi wa mkoa wa Tanga wako wapi?
 
Tanga waja leo waondoka leo.....tatizo Tanga watoto wa kiume wanakaa jikoni na mama zao.

Afu watoto wa Tanga ni weupe mashallah kama kina jaymelody, kusah, lafudhi ya kitanga nayo inashawishi.

Watoto wadogo miaka 6 mpaka 15 wanaangalia mama zao wakiyamwaga mauno kwenye zile baikoko na vigodoro, wanaiga michezo ya kukalia chupa, mwisho wa siku nao wanayamwaga.

Ukitaka kujua men ni shoga nenda club.
 
Back
Top Bottom