Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hali ni mbaya sana aisee yaani too much kabisa Taifa linazidi kukosa vijana mashababu hususani maeneo ya Tanga napata ukakasi kwa maeneo ya Tanga kumtambua kijana shababu ni yupi au kijana mchere mchere ni yupi yaani hali ni too much sanaa aiseee

Nenda maeneo kama pale sabasaba au kule Castala villa utakuja vijana wengi wa kiume wamevaa kikuu na then watu wa pale wanajiuza eti vijana wa kiume wapo kabisa kwenye msururu eti.wanajiuza eti sio poa kabisa

Asilimia kubwa vijana wengi wa Tanga wanapakuliwa aisee sijui viongozi wa mkoa wa Tanga wako wapi?

Dooh,msiba mzito huu.
 
Jamii ya tz inaongea suala la ushoga mdomo ila wakemeaji wakuu ndio wafiraji wakuu.
 
Tanga waja leo waondoka leo.....tatizo Tanga watoto wa kiume wanakaa jikoni na mama zao.

Afu watoto wa Tanga ni weupe mashallah kama kina jaymelody, kusah, lafudhi ya kitanga nayo inashawishi.

Watoto wadogo miaka 6 mpaka 15 wanaangalia mama zao wakiyamwaga mauno kwenye zile baikoko na vigodoro, wanaiga michezo ya kukalia chupa, mwisho wa siku nao wanayamwaga.

Ukitaka kujua men ni shoga nenda club.
Jay melody ni wa MOROGORO please...japo watu wa morogoro hawana tofauti kubwa na Tanga
 
Ushoga umekuwa uki trend sana siku za hivi karibuni. Niseme ukweli tu wengine hatujawahi kuwaona wanaume hao wanaojihusisha na ushoga wakoje, wananafananaje na wanaume wenzao wasiojihusisha na tabia hiyo. Ina maana hao wanaume hawaoni aibu kufanywa kama wanawake, na je wana sehemu za kiume zinazofanya kazi au hizo sehemu za kiume ni mbovu na ndiyo wakajigeuza kuwa kama wanawake?
 
Dahh! Kazi sana...tatizo wanaowapakua ni wanaume kama sisi, hii ni shida sana.

Vijana kupenda starehe ( pombe, misosi mizuri, nguo ghali, na maeneo ghali) huku hawana vipato kunawapelekea kuwa mashoga.

Vijana chakalikeni acheni haraka na tamaa!
 
Back
Top Bottom