Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,367
- 12,362
Wazungu wengi
UMUGHAKA wewe umefika wapi na wapi mpaka uhitimishe kwamba Zanzibar inaongoza Kwa ushoga barani Afrika?
Unajua watu wengi wa Kanda ya ziwa mfano UMUGHAKA ushamba ndio tatizo kiasi kwamba wakiona Jambo hata Kwa uchache hutaka kulikuza ili waonekane wajanja.
UMUGHAKA tofauti na kipaji cha kusimulia story hana lingine kichwani , ni mtupu kabisa
Kiufupi chuki zinakusumbua na ushamba 😅😅waulize wanaoenda kila siku...Ila hautokuja kuanzisha uzi hapa kwamba kule israel , Argentina kuna mashoga lukuli tena wa kuoana kabisa
Kutumia I'd fake jf imekuwa sababu ya watu wa hovyo kujiropokea Tu ili kupata likes hum au kuwa trendingKiufupi chuki zinakusumbua na ushamba 😅😅waulize wanaoenda kila siku...Ila hautokuja kuanzisha uzi hapa kwamba kule israel , Argentina kuna mashoga lukuli tena wa kuoana kabisa
Aiseee kumbe basi hali ni mbaya sana
Very True!Kwa sasa Zanzibar ni Sodoma ya Tanzania!
Wenzako hao
Kuandika tuhuma nzito hiv hadi kufikia kuhitimisha kuwa Zanzibar ndio kinara wa Ushoga Africa ulipaswa kuleta hoja hizi in details,Nimekaa Zanzibar (Unguja) almost 1.5 Year
Nimekaa Zanzibar (Pemba) almost 7 months
Ninachokizungumza nakijua mkuu!
Usione nakuwa nawasimulia simulizi ukadhani hizo simulizi ndiyo mwisho wa maisha yangu,hizo simulizi ni nukta tu ya ambacho napaswa kusimulia hapa!
Uchunguzi wako ukaufanya Unguja yote namaanisha maeneo yote?Nimekaa Zanzibar (Unguja) almost 1.5 Year
Nimekaa Zanzibar (Pemba) almost 7 months
Uchunguzi wako ukaufanya Unguja yote namaanisha maeneo yote?
Uchunguzi wako ukaufanya Pemba yote?? Namaanisha maeneo yote??
Uleule ujuaji wa kishamba! Umejaa chuki na hasira! Soma tena utaona jinsi ulivyoendeshwa na hisia, papara, mhemko na hasira!
Wengi ni hormonal imbalances ndo wanakuaga hivi.Kuna vitu watu hawajui, wapo wanaume wana pigo za kike mfano hereni, kujikoboa, kusuka kuvaa za kubana nguo, na vikaptula, wapaka bleach, saloon zao za kike, kucha wamepaka rangi, lips shine wanazo, vilapa vya kike na mikoba wanabeba ya kike... lakini licha ya kuwa hivo hawataki kuguswa na wanaume wenzao, wao raha yao wawe kama wadada [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kama ulikuwa hujui ndio nakujuza leo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijana wanakalia Kwa kushindana