Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Sahivi mtu aache kufanya mambo yake, awaze ushoga? Hana cha kufanya labda.

Watu wanakulana vinyeo km hawana akili nzuri, wanaona walichelewa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani wewe unazungumzia me kwa me wafiraaane au me kwa ke jibu ni lipi???
 
We mwenyewe shoga ndo maana unaanzisha uzi wa mashoga kuona ni wangap wanasapoti ushoga

Na majb nazan ushayapata
 
Kuna clip moja nmetumiwa aise hatari sana watu wako wana serebuka na masingeli misomisondo jux ngoma zao,alafu jamaa yuko na dem kazungukwa na umati wanabanduana
Live mijitu inashangiliaaaa
Tzzzz mpya hiyooo shikamoooo

Shetani ameshashindaaaa

Ova
 
Kwa hiyo waishi kama kenge?
Kwamba upige chini wanao wote kisa kamalaysa sexless hakana mvuto.
Hizi hoja na akili unazitoa wapi?

Wacha watu waishi maisha yao, kukataliwa kupo na lazima ukubali.
Mkuu ishu siyo kukataliwa. Watu wanakataa lkn wa kukataa unakuta ni wa kupakuliwa ama kusagana
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.

Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake, haonekani kama ni shoga, wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao.

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia, ukimuona unasema ni kidume, wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao.

Hapa ofisi ninayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili, nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu!

Sijui kama miaka michache kutakuwa na wanaume marijali wengi, itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8.

Hali ni mbaya sana hapa Dar, kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura, ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar. Hivi tatizo ninini? Yaani limekuwa ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume. Mungu nilindie kizazi changu uwiii, wanaume kwanini hivyo lakini?

Ebu subiri sodoma na gomora unajua ulikua ni mwaka gan ??
1900Bc nasasa ni 2000 AD
so jumlisha hapo ni kama miaka 4000 hivi !
je wanaume wameisha?? hapana

Kifupi hata iweje marijali hawawezi isha na wala si kila mtu atakua ! we hao watu uliowaona hata asilimia 1% ya population ya tanzania hawajafika .

Watu wanabadilishana tu tabia kuna muda haya mambo yalikua ukanda wa urabuni , baadae urabuni wakastarabika yakahamia ulaya huko saizi wameshayaona si dili yamekuja Africa naoo yatatoka!!
So ni mzunguko na ni jambo la muda !!
 
Hali inatosha Kwa kweli..na kauli za papa ndo zinazid kutibua Hali ya hewa kabisaaa
 
Back
Top Bottom