Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Kwa hiyo waishi kama kenge?
Kwamba upige chini wanao wote kisa kamalaysa sexless hakana mvuto.
Hizi hoja na akili unazitoa wapi?

Wacha watu waishi maisha yao, kukataliwa kupo na lazima ukubali.
Mkuu ishu siyo kukataliwa. Watu wanakataa lkn wa kukataa unakuta ni wa kupakuliwa ama kusagana
 

Ebu subiri sodoma na gomora unajua ulikua ni mwaka gan ??
1900Bc nasasa ni 2000 AD
so jumlisha hapo ni kama miaka 4000 hivi !
je wanaume wameisha?? hapana

Kifupi hata iweje marijali hawawezi isha na wala si kila mtu atakua ! we hao watu uliowaona hata asilimia 1% ya population ya tanzania hawajafika .

Watu wanabadilishana tu tabia kuna muda haya mambo yalikua ukanda wa urabuni , baadae urabuni wakastarabika yakahamia ulaya huko saizi wameshayaona si dili yamekuja Africa naoo yatatoka!!
So ni mzunguko na ni jambo la muda !!
 
Hali inatosha Kwa kweli..na kauli za papa ndo zinazid kutibua Hali ya hewa kabisaaa
 
Mkuu ishu siyo kukataliwa. Watu wanakataa lkn wa kukataa unakuta ni wa kupakuliwa ama kusagana
Huu muandiko mbona ni jinsia yetu ya Adam?

Mada inahusu mwanamke kukataliwa?
Mkuu mbona hueleweki?
 
Kuna pepo limewafika. Unakuta mkaa kaweka mwili vizuri Gym lkn anapakuliwa.

Wadada kibao wanaopewa na waume wenye waume zao. Halafu wanavunja ndoa lkn haiwaitaji sababu ya msingi ya kuvunjika kwa ndoa kwamba ni ushoga
Very sad aisee
 
Huu muandiko mbona ni jinsia yetu ya Adam?

Mada inahusu mwanamke kukataliwa?
Mkuu mbona hueleweki?
Sema mods wameunganisha uzi. Niliamdika uzi kuelezea jinsia zote mbili.
 
Askofu wa jimbo katoliki la Geita Flavian Kasala amesema ni bora abariki jiwe utaenda kujengea nyumba kuliko kubariki wapenzi wa jinsia moja! kwani ni kinyume na maagano ya Mungu aliesema nendeni mkazaane.

Ameyasema hayo leo mjini Geita kwenye misa takatifu ya krismass, chanzo TBC ONLINE.
 
Kuna ile dhana ya kusema wanyama hawafanyi ushoga, leo imethibitishwa vinginevyo.

Video imewanasa simba dume wakipandana na kufanya kitendo kinachoashiria ushirika wa kingono baina yao (sexual bonding).

Wanasayansi wa Kitanganyika walichunguze hili swala, inakuwaje dume lipande dume! Mungu atawaangamiza hawa wanyama.

Mungu akikasirika atashusha moto uwaangamize simba wote msituni. Ni kinyume na maadili ya kisimba.

Tunaomba serikali itunge sheria kali kuwazua simba dume kufanya ushoga. Mungu atatuteketeza.


View: https://youtu.be/FnTHbh5K4Ow?si=pbwdu4lmLDg4xgWF
 
Unataka kusema?
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Kilichonisukuma kuandika munakasha huu ni huyu muimba taarabu anayeimba kuhusu mapinduzi matukufu ya serikali ya Zanzibar huku yeye na waimbaji wenzake wakiwa wamevaa mavazi ya CCM na nyuma yake (background) kuna picha za marais wa Zanzibar, kuanzia muasisi wa taifa hilo, Abeid Aman Karume hadi rais wa sasa, Dr Hussein Ali Mwinyi.

Your browser is not able to display this video.

Muimbaji huyu anafanya haya huku CCM na serikali ya Mapinduzi (SMZ) wakiwa hawajawahi kukemea wala kupinga kitendo hiki. Hii tafsri yake ni nini? Ni kwamba serikali ya SMZ na CCM wanaunga mkono vitendo vya kishoga? Kama hawaungi mkono mbona sasa hawakemei kudhalilishwa kwa marais wake? Na inasikitisha video hii imeruhusiwa kuchezwa kwenye TV na redio za huko Zanzibar bila kupigwa marufuku. Maana yake nini?

Tukiacha hilo la shoga anayeimba kuisifia CCM na serikali yake ya mapinduzi, hebu mtazame huyu shoga maarufu kutoka Zanzibar anayetamba mitandaoni na maeneo ya Zanzibar mchana kweupe bila kukamatawa na kutiwa adabu.

Your browser is not able to display this video.

Huyu bwana aispodhibitiwa, tutarajie vijana wengine kuiga uchoko wake na kujiingiza kwenye vitendo vya kishoga. Wazungu wanasema one fool makes many na waswahili tunasema usipoziba ufa utajenga ukuta. Je, serikali kuwaacha hawa machoko kuzoeleka mitaani haioni kuwa watashawishi vijana wengine kuingia kwenye vitendo vya kishoga?

MAONI YANGU
Ikiwa SMZ wanaunga mkono ushoga, nashauri tugawane mbao mapema kabla uchoko huu haujasambaa hadi Tanganyika. Tuwaache wazanzibar waendelee na uchoko wao na sisi watanganyika tuendelee na ustaarabu wetu. Isiwe shida. Huu muungano wa mchongo sio ndoa ya kikiristo kwamba hauwezi kuvunjwa. Tusiumazane vichwa kwa mambo ya kijinga yanayoweza kuepukika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…