Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

kama kweli tumedhamiria kusimamia maadili ya kizazi chetu basi mamlaka husika zinao wajibu wa kutupia macho matamasha ya taarabu ambayo kwa kiasi kikubw mashoga hujiingiza na kujiuza/.
jana trh 26/04 nilikuwa kwenye ukumbi wa Dimond J kwenye Tamasha la taarabu (Raha za Pwani) nilishuhudia kundi la vija (mashoga) wakiwa mawindoni......
hatunabudi kutokomeza huu ufirauni ktk maeneo yetu.
Taarabu mziki mwanana wa pwani wenyewe waswahili mzingi mtamu masikioni..
Hauna uhusiano na swala la mashoga au maadili jamii iwajibike kwenye malezi na msisingizie music wa mwambao kabisa.
 
Mashoga wanatokea nyumbani wanaenda kwenye starehe.

Kwa hiyo tatizo lipo nyumbani na siyo huko kwenye viwanja
sawa lakini mamlaka zinawajibu wa kutoa macho kweny haya matamaha ya taarabu kwani pia yanachangia kuporomoka kwa maadili kwa kuachilia mashoga wakijinadi hadharani......kama kweli hatutaki majaga ya mafuriko n.k lazima tuwatoomeze mashoga.
 
Siyo taarab tu hata haya matamsha ya miziki ya sasa singeli,amapizno ushoga mtupu

Ova
 
kama kweli tumedhamiria kusimamia maadili ya kizazi chetu basi mamlaka husika zinao wajibu wa kutupia macho matamasha ya taarabu ambayo kwa kiasi kikubw mashoga hujiingiza na kujiuza/.
jana trh 26/04 nilikuwa kwenye ukumbi wa Dimond J kwenye Tamasha la taarabu (Raha za Pwani) nilishuhudia kundi la vija (mashoga) wakiwa mawindoni......
hatunabudi kutokomeza huu ufirauni ktk maeneo yetu.

tusipo kemea na kutokomeza hawa mashoga basi tusishagae kupata mafuriko na majanga mengine makubwa .
hata hivyo ushoga na ufiraji si ni mambo ya pwani ndugu. wao wenyewe wanajua, wengine wanasema mambo ya kizenji, wengine ya mombasa, wengine ya tanga nakadhalika. pamoja na uwepo wa dini sana pwani, wanasifika sana kwa uchafu huo. mchana wanaswali, usiku wananusa kinyesi.
 
Sawa,labda tuangazie na kwa upande mwingine.Ni nani anayewatumia hawa mashoga.Yaani ni nani wanawanunua.maana hawa hawasemwi.Mimi nawachukia zaidi hao wateja wa biashara hii ya ushoga.Wanaoona ni sawa tuu kuwadhalilisha wanaume wenzao,watoto wa wenzao.Vipi ikiwa ni kijana wako wa kiume ambaye ulifurahi siku ulipo ambiwa mkeo amezaa mtoto wa kiume, umemlea vizuri unataka aendeleze ukoo wenu,au kama ni mfanyabiashara unataka baadaye aje kuendeleza biashara zako harafu kuna lijitu limemgeuza mwanamke.Wewe unaye fanya hivyo,akili yako inakuwa sawa kweli,ni mwanaume mwenye akili timamu kabisa.Nadhani akili yako haiko sawa ila ikirudi utajutia sana.Hata nini wanawake amabo mnakaa na watoto wa kiume wa wenzenu na kuwafanyia make up,ungefurahi usikie kijana wako wa kiume anapambwa saluni.

Malipo Mengine mnaweza kuyapata hapa hapa dunia kabla hamjafa ili muone ilivyo na uchungu.Wito ni kwamba tuwalinde watoto wetu wa kiume kwa kushirikiana kama tulivyofanya kwa watoto wetu wa kike.

Mungu atusaidie
 
hata hivyo ushoga na ufiraji si ni mambo ya pwani ndugu. wao wenyewe wanajua, wengine wanasema mambo ya kizenji, wengine ya mombasa, wengine ya tanga nakadhalika. pamoja na uwepo wa dini sana pwani, wanasifika sana kwa uchafu huo. mchana wanaswali, usiku wananusa kinyesi.
uko sahihi.....tafiti zisizo rasmi zinaonyesha tabia ya Ushoga imejikita sana sehemu za pwani haswa zenji ni balaa.
 
hata lugha tu unaambiwa hayo ni mambo ya pwani, au mambo ya kipemba. hata wanawake wanaingiliwa nyuma sana huko pwani. kama nyie ni watu wa dini semeni ukweli jamii ipone.
 
binafsi nachukua fursa hii kukemea vikali tabia hizi na pia kushauri mamlaka kuchukua hatua stahiki dhidi ya vitendo hivyo.
 
Hello members
Eeh banaee Dunia inaenda kufunikwa na janga kubwa la Ushoga na usagaji
we need to pray a lot and ask God to save us from this disaster in our families because everywhere disaster is declared and other countries have allowed these evil things to happen
 
Back
Top Bottom