SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Mpumbavu Wewe!
I'm sorry for calling you that mkuu, lakini kama impact yake huioni kwa jamii yetu ya kitanzania, na haswa watoto wetu basi Wewe utastahili kuitwa mpumbavu.Ila sijui upande wa wengine mnayachukuliaje haya mambo, yaani TTCRA ifungie hizo channel au wewe ndie ujue namna ya kumkanya mwanao na familia kwa ujumla, af
Mtu atoe kijampio chake kiliwe mi kinanihusu nini.
Mi kwa upande wangu hata kama serikali itaruhusu, nitapambana na walio chini yangu.