Ulaya ama Marekani si sawa na bongo mkuu.Mtoto wako afanye hivyo vitendobmi niumie, acha zako basi, mfano wewe ni mzinifu mke wako akifumanie Ndoa ivunjike, mimi nina athirika wapi kwa uzembe wako mwenyewe, Acha content zionyeshwe wewe mwenye familia ndio una jukumu la malezi ya watoto wako kwa asilimia 100,
Swali, Mbona huko Marekani ambako hayo mambo yameruhusiwa sio kila mtu ni shoga...?, impact yake iko wapi kwa wasio taka...!?
Kesi ya mke na mume si sawa na ya mtoto.
Watoto hukutana kucheza pamoja na kuichangamsha jamii kaka.
Hivyo kuwalinda wao ni muhimu sana,suala la mke na mume ni personal.
Watoto hukutana mashuleni,michezoni na maeneo mengine,je mtoto aloyeharibika akamlawiti mwanao huko shuleni ilhali wewe hujui utafanyaje!?
Sio kila linalotokea muda mwingine ni uzembe laa hasha.
Dakika moja unayomuacha mtoto yaweza kuwa kandamifu kwake.
Ulaya watoto hawa socialize kama Afrika.