Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siyo ulijiunga sasa unajutaWasalaam ndugu zangu.
Katika pitapita Whatsapp groups nimekutana na group la wasagaji na mashoga .Jamani Mungu ndio soluhisho kwetu kama ndugu yangu ni muislam au wewe ni mkristo kazana kusali na kuweka familia zetu jilani na Mungu.
Shetani amesambaza hii roho mpaka mikoani uko.
ushayaona facebook?Wasalaam ndugu zangu.
Katika pitapita Whatsapp groups nimekutana na group la wasagaji na mashoga .Jamani Mungu ndio soluhisho kwetu kama ndugu yangu ni muislam au wewe ni mkristo kazana kusali na kuweka familia zetu jilani na Mungu.
Shetani amesambaza hii roho mpaka mikoani uko.
Nilijiunga kwa njia ya link tu lengo nikatangaze biashara ya kazi zangusiyo ulijiunga sasa unajuta
Akikujibu nitagHayo magroups yamekuja vp kwenye wasap yako?
Mm nmekutana nalo Whatsappushayaona facebook?
yamkini ndo unatumia mitandao kwa mara ya kwanza
NmeshajbuAkikujibu nitag
@p
bas kuna siku utajikuta umeingia magrup ya mabasha wakufumue!!….Nilijiunga kwa njia ya link tu lengo nikatangaze biashara ya kazi zangu
So sadHili ni tatizo jipya kwa ulimwengu mzima, na wa magharibi ndio wanapambania saana hili janga lienee, kuanzia katuni, movies, michezo yaani kila sekta.. Tujitahidi kuzuia kwenye level ya familia, ila kwa jamii nzima ngumu, ukizingatia hata serikali yetu haijachagua upande rasmi, ni wapo wapo tu, kina juma lokole wanatangaza vituo vya habari huko na wengineo wengi.
umetoka salama!! au ulivo chukua namba ndio ukatoka😂😂😂Tunazijua izo mbinu zenu nyinyMm nmekutana nalo Whatsapp
Hahahaha kumbe unajua vzr hayo ndio majina yao alafu wengine ni watu wazima kabisaHao wajinga wanaoitana top na bottom
👇Akikujibu nitag
Bc ww tangaza biashara zako tuu mana wateja huwezi kuwabaguaNilijiunga kwa njia ya link tu lengo nikatangaze biashara ya kazi zangu
Biashara yako ni gani? Kabla ya kujoin ungeona pale pale group linahusu nini kabla hujaruhusu kuingiapo.Nilijiunga kwa njia ya link tu lengo nikatangaze biashara ya kazi zangu
Acha zako wwumetoka salama!! au ulivo chukua namba ndio ukatoka😂😂😂Tunazijua izo mbinu zenu nyiny
Wanasagana wao, wewe tatizo lako nini?Wasalaam ndugu zangu.
Katika pitapita Whatsapp groups nimekutana na group la wasagaji na mashoga .Jamani Mungu ndio soluhisho kwetu kama ndugu yangu ni muislam au wewe ni mkristo kazana kusali na kuweka familia zetu jilani na Mungu.
Shetani amesambaza hii roho mpaka mikoani uko.
alikua anafurahia huyu asijifanye inocent😂😂😂ndo wale wanashikwa tako wanacheka cheka wakipapaswa sifuri ndo wanajifanya kushtukaBiashara yako ni gani? Kabla ya kujoin ungeona pale pale group linahusu nini kabla hujaruhusu kuingiapo.