Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Mila na desturi kimalezi za Wazazi wetu wa 1920-1980 zilikuwa bora sana, malezi ya Watoto kiutandawazi ndiyo matokeo ya kina Juniors na hao mabwabwa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Wasalaam ndugu zangu.
Katika pitapita Whatsapp groups nimekutana na group la wasagaji na mashoga .Jamani Mungu ndio soluhisho kwetu kama ndugu yangu ni muislam au wewe ni mkristo kazana kusali na kuweka familia zetu jilani na Mungu.
Shetani amesambaza hii roho mpaka mikoani uko.
Kwa hiyo ulikuwa unajua uwezo wa shetani unaishia kwenye miji mikuu pekee?
 
Back
Top Bottom