makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Kiongoz tunahamasisha kuombea taifaMods onganisheni hizi nyuzi!! Kila wiki watu wanapandisha halafu hazina maana ujinga mtupu
Alokwambia mashoga wanajenga nani??Mimi ni fundi nadeal na ujenzi nina group ambalo watu wanatuma link za magroup mbali mbali wengine hawaandik group linahusu nn mpka uingie huko ndio utajua
Wamegusa masilahi yako auMods onganisheni hizi nyuzi!! Kila wiki watu wanapandisha halafu hazina maana ujinga mtupu
Hayo magroups yamekuja vp kwenye wasap yako?
Hayo majinga Mungu now days ameamua kuyaacha tu sababu magonjwa yao yapo karibuUngetuwekea hiyo link kwanza ili nikisha shuhudia hayo unayo yasema nipate msukumo wa kufanya maombi vzri …. I mean ile nguvu ya kumshawishi Sir God iwepo
Mzee acha kuzingua mm sio papaiMwanaume kutumia hii kauli napatwa mashaka nae. Eti Mbaga Jr
Naona wamegusa ya kwako ndio maana comment yangu imekuumaWamegusa masilahi yako au
unawezekana si papai ila ni mteja wa mapapaiMzee acha kuzingua mm sio papai
Unapoomba lazima uwe na key termsKwanini tuliombee sasa, kwani huko nyuma hakukua na maombi, kama yalikuwepo kwa nini hayajafanya kazi hadi sasa tuombe upya? Je kama huko nyuma kulikua na maombi na hayakufanya kazi, sasa tuna uhakika gani tukiomba yatafanya kazi?
Haya mambo ya maombi hayana maana yoyote ni kupoteza muda tu. Dini ni mambo ya kitapeli.
🤣🤣🤣 Muache ndugu yangu Mbaga Jr . Au apige simu moja tu akuonyeshe anajuana na akina naniNaona wamegusa ya kwako ndio maana comment yangu imekuuma
Siwez hiyo dhambi ni motoni directunawezekana si papai ila ni mteja wa mapapai
Dah nimelia sana 😭Naona wamegusa ya kwako ndio maana comment yangu imekuuma
Vipi wamegusa penyewe..Mods onganisheni hizi nyuzi!! Kila wiki watu wanapandisha halafu hazina maana ujinga mtupu
Kila wiki wanaleta hizi nyuzi, wanapinga au wanasambaza?Dah nimelia sana 😭
Awe makini tu asije kwenye bash, watambashiaHuyu hapingi ila kuleta mada kama h n kusambaza ugasho