kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
Lete ushaidiiHuu ndio ukweli,japo tunajifanya watakatifu,lakini ni waraibu wa kwa mpalange,hakuna cha wasomi,matajiri,malofa,viongozi wa dini,wanasiasa,wasanii au wanamichezo,wote ni kwa mpalange
Achana na maneno ya vijiweniii.
Wanaume wasafi tupo wengii tuuu
Na hatufikirii hiyo biashara ovuuu
Hata ng'ombe hafanyii