Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Ninaandika haya kwa uchungu mkubwa sana labda hii post serikali itaiona walifanyie kazi haraka sana.

Kuna dating app moja ya mashoga inafanya kazi hapa nchini ambapo mashoga huitumia kujitangaza na kukutania kufanya ushetani wao

Hii app kwanini "TCRA" wameiacha?Hii app ni maalum kwa ajili ya mashoga na hutumia kwa kuwasha location kisha watu wa karibu watamuona watakutania

Sasa hivi promo imehamia hata kwa wasiofanya hivyo vitendo wanashawishiwa wadownload hiyo app mwishowe nao hujikuta ni mashoga

Tunaiomba serikali na TCRA waifungie hii app na mtandao wa "Grindr" kwani unaliangamiza taifa, hii app inangamiza vijana wa taifa hili kwani wanajifunzia ushoga huku.

Naomba sana serikali iufungie huu mtandao haraka sana.
Ni ya Chadema? Wanazungumzia siasa huko?
Kwasasa tunapambana kwanza na wapinzani, hatuna muda na mambo yasiyoathiri utawala wetu. MCC Oyeee
 
Ninaandika haya kwa uchungu mkubwa sana labda hii post serikali itaiona walifanyie kazi haraka sana.

Kuna dating app moja ya mashoga inafanya kazi hapa nchini ambapo mashoga huitumia kujitangaza na kukutania kufanya ushetani wao

Hii app kwanini "TCRA" wameiacha?Hii app ni maalum kwa ajili ya mashoga na hutumia kwa kuwasha location kisha watu wa karibu watamuona watakutania

Sasa hivi promo imehamia hata kwa wasiofanya hivyo vitendo wanashawishiwa wadownload hiyo app mwishowe nao hujikuta ni mashoga

Tunaiomba serikali na TCRA waifungie hii app na mtandao wa "Grindr" kwani unaliangamiza taifa, hii app inangamiza vijana wa taifa hili kwani wanajifunzia ushoga huku.

Naomba sana serikali iufungie huu mtandao haraka sana.
Cc: Dr Dorothy Gwajima

USSR
 
Nashindwa hata nieleze vp[emoji24][emoji24] nilitamani hata nisiitaje maana nitaonekana kama naipromote jee bila kuitaja wahusika wataitambuaje ili waifungie?
Mtu akishaangalia tu avatar yako hana haja ya kuumiza kichwa mkuu
 
Ninaandika haya kwa uchungu mkubwa sana labda hii post serikali itaiona walifanyie kazi haraka sana.

Kuna dating app moja ya mashoga inafanya kazi hapa nchini ambapo mashoga huitumia kujitangaza na kukutania kufanya ushetani wao

Hii app kwanini "TCRA" wameiacha?Hii app ni maalum kwa ajili ya mashoga na hutumia kwa kuwasha location kisha watu wa karibu watamuona watakutania

Sasa hivi promo imehamia hata kwa wasiofanya hivyo vitendo wanashawishiwa wadownload hiyo app mwishowe nao hujikuta ni mashoga

Tunaiomba serikali na TCRA waifungie hii app na mtandao wa "Grindr" kwani unaliangamiza taifa, hii app inangamiza vijana wa taifa hili kwani wanajifunzia ushoga huku.

Naomba sana serikali iufungie huu mtandao haraka sana.
Umeijuaje?
 
Wazungu wanakwambia "Golden chance' sasa hivi mhafidhina Trump ameingia na hapendi mashoga

Huu ni wakati kama nchi kuwashughulikia hawa wadudu wanaoitwa mashoga na wasagaji

Serikali ifanye yafuatayo

Marufuku ushoga na mashoga kuanzia maeneo ya wazi kuanzia kwenye mabar mahoteli migahawani iwe ni marufuku kuwahost mashoga

Shughuli na sherehe zote iwe ni marufuku kuwakaribisha na kuwaanika mashoga na atakayekiuka achukuliwe hatua

Tupige marufuku watoto na jamii zote kuwa na urafiki na mashoga na wasagaji watengwe sana

Kupiga marufuku content zote zinazopromote ushoga mfano wanaume kuvaa uhusika wa kike kuigiza au vichekesho, wanaume kujipamba au kuvaa uhusika wowote ambao utaharibu watoto wetu

Maudhui ya ushoga yote yapigwe marufuku kuanzia mashuleni na mitandaoni na kuna page za mitandaoni zinahamasisha ushoga mfano kule fb kuna page jamaa kila siku lazima apost video za mashoga akijidai anasikitika au kushangaa kumbe yule shetani huwa analipwa, content za ushoga zipigwe marufuku kila mahali.Kuna app za mashoga hapa nchini na zimeachwa tu moja imekua maarufu sana watoto wetu wa kiume wanaharibikia huko zifungiwe sijui tcra wanaogopa nini.

Kuwakagua watoto wa kiume mashuleni kila wakiingia darasa jipya na sekondari pia ukaguzi ufanywe kila awamu ya shuleni

Mashirika yanayoeneza ushoga yapigwe marufuku maana NGO's zimezidi mfano Maria Stopes..

Vitu vinavyochangia ushoga viangaliwe kwa makini sana kuanzia bidhaa na vitu mbalimbali na madawa yanayotolea mfano misaada ya unga na mahindi yaloongezwa virutubisho mfano kutoka mashirikani.

Serikali ipige marufuku tabia ya mashirika kuenda kwenye mashule ya msingi na sekondari kugawa pipi, spray, dawa za meno, na chanjo hovyo hovyo tu, hii tabia imeshamiri sana sikuizi jiulize kwanini hawapeleki kalamu, penseli, daftari, rula kama zamani kwanini walete hivyo vitu.

HATIMA:Tukiweza kumaliza na kushinda hili janga au kutelekeza hayo hapo juu sasa kama taifa tutapiga marufuku mijadala ya ushoga na usagaji nchini.
 
dar es salaam,tanga na pwani ushoga unaenezwa na shughuli za hawa waswahili /vigoma

Instagram, TikTok,fb pana video zinaonesha shughuli kibao wenyewe wanaita kutuzana ndani kuna mashoga

tamadauni za pwani always sucks as hell. ! am so worried about future generations
 
Wazungu wanakwambia "Golden chance' sasa hivi mhafidhina Trump ameingia na hapendi mashoga

Huu ni wakati kama nchi kuwashughulikia hawa wadudu wanaoitwa mashoga na wasagaji

Serikali ifanye yafuatayo

Marufuku ushoga na mashoga kuanzia maeneo ya wazi kuanzia kwenye mabar mahoteli migahawani iwe ni marufuku kuwahost mashoga

Shughuli na sherehe zote iwe ni marufuku kuwakaribisha na kuwaanika mashoga na atakayekiuka achukuliwe hatua

Tupige marufuku watoto na jamii zote kuwa na urafiki na mashoga na wasagaji watengwe sana

Kupiga marufuku content zote zinazopromote ushoga mfano wanaume kuvaa uhusika wa kike kuigiza au vichekesho, wanaume kujipamba au kuvaa uhusika wowote ambao utaharibu watoto wetu

Maudhui ya ushoga yote yapigwe marufuku kuanzia mashuleni na mitandaoni na kuna page za mitandaoni zinahamasisha ushoga mfano kule fb kuna page jamaa kila siku lazima apost video za mashoga akijidai anasikitika au kushangaa kumbe yule shetani huwa analipwa, content za ushoga zipigwe marufuku kila mahali.Kuna app za mashoga hapa nchini na zimeachwa tu moja imekua maarufu sana watoto wetu wa kiume wanaharibikia huko zifungiwe sijui tcra wanaogopa nini.

Kuwakagua watoto wa kiume mashuleni kila wakiingia darasa jipya na sekondari pia ukaguzi ufanywe kila awamu ya shuleni

Mashirika yanayoeneza ushoga yapigwe marufuku maana NGO's zimezidi mfano Maria Stopes..

Vitu vinavyochangia ushoga viangaliwe kwa makini sana kuanzia bidhaa na vitu mbalimbali na madawa yanayotolea mfano misaada ya unga na mahindi yaloongezwa virutubisho mfano kutoka mashirikani.

Serikali ipige marufuku tabia ya mashirika kuenda kwenye mashule ya msingi na sekondari kugawa pipi, spray, dawa za meno, na chanjo hovyo hovyo tu, hii tabia imeshamiri sana sikuizi jiulize kwanini hawapeleki kalamu, penseli, daftari, rula kama zamani kwanini walete hivyo vitu.

HATIMA:Tukiweza kumaliza na kushinda hili janga au kutelekeza hayo hapo juu sasa kama taifa tutapiga marufuku mijadala ya ushoga na usagaji nchini.
Ubongo kids na Akili Akili na marangi rangi Yao Yale ingawa SIKU hizi sioni wakipromote RAINBOW directly.
 
Back
Top Bottom