Ibn Unuq
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 5,508
- 10,086
Tutayasikia Mengi 😆😆Wameshavuka huko, sahivi ni "kiduara" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tutayasikia Mengi 😆😆Wameshavuka huko, sahivi ni "kiduara" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naam mashallah MashallahAu siyo?
wewe mwenyewe unafanyaAcha uongo, uhuni wako unataka uwaunganishe na wengine, hiyo asilimia 90 umeitoa wapi?
Nimeshawahi kukufanya mpaka unatoa huu ushuhuda?wewe mwenyewe unafanya
Oyaaa hapo kwenyewe vipi, hapo kwenyewe shegaaaah, wanaume tuna unafiki sana, haya kisa cha kupenda makalio ya wadada ni nini 🤣🤣😅😅😅Shangaaa wee mwenzangu, case za ulawiti kila siku uraiani.
Ila hapa wanakataaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli, wanaobisha waache wabishe.hoja sio nani ni mstaarabu kwa sifa zipi,hoja ni wanaume wengi kwa sasa wanakula kwa mpalange,na hata viongozi wa dini wanakula na kuliwa kwa kwa mpalange
Utafiti wako umeufanya kwa vitendo au nadhariaHuu ndio ukweli,japo tunajifanya watakatifu,lakini ni waraibu wa kwa mpalange,hakuna cha wasomi,matajiri,malofa,viongozi wa dini,wanasiasa,wasanii au wanamichezo,wote ni kwa mpalange
Ni kama ukimwi kila mtu hana 😀😀kila mtu hafanyi unajiuliza wanaofanya ni kina nani😂😂
ewaaaNi kama ukimwi kila mtu hana 😀😀
based on my on a research which I did within the people whom I am close with,done through oral interviewBased on research ipi kaka? Wanao jiheshim bado wapo wengi tu
Then ou need to expand your sources, that closen group doesnt represent the whole countrybased on my on a research which I did within the people whom I am close with,done through oral interview
Labda ni wewe na wanaoHuu ndio ukweli,japo tunajifanya watakatifu,lakini ni waraibu wa kwa mpalange,hakuna cha wasomi,matajiri,malofa,viongozi wa dini,wanasiasa,wasanii au wanamichezo,wote ni kwa mpalange
😂 Shoga ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna anayenionea hapa JF, mie ndo nawaoneaa wao.
Afu kusemwa au kutajwa ni kawaida, maana hata mie nawasema na nawataja.
Shogaa mwenyee [emoji294] na bahatii yakee mjiniiii. Wee huogopiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ikiwa kutakuwa hakuna wanaume marijali pia kutakuwa hakuna mashoga.Hili mashoga wawepo wanaitaji wanaume marijaliMiaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.
Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake, haonekani kama ni shoga, wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao.
Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia, ukimuona unasema ni kidume, wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao.
Hapa ofisi ninayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili, nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu!
Sijui kama miaka michache kutakuwa na wanaume marijali wengi, itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8.
Hali ni mbaya sana hapa Dar, kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura, ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar. Hivi tatizo ninini? Yaani limekuwa ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume. Mungu nilindie kizazi changu uwiii, wanaume kwanini hivyo lakini?
Unapotoa humumu haki huwa inazingatiwa. Unadhani wanapo muhukumu mtu kunyongwa mpaka kufa huwa hawazingatii haki?Mawazo yako ni mazuri, lakini sidhani kama umezingatia haki ya msingi ya Kuishi. Kila mtu ana haki ya kuishi.
😂😂😂Hahahahaa