Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vijana wengi, hasa Wapare na Wachagga, 🥺🥺🥺😡😡😡😡
 
Umekaa kijiweni na bodaboda mmoja tu umejuisha vijana wa kichaga wote waliopo kariakoo.
Wacha mambo yako kijana tafiti hazifanywi kwa namna hiyo, mbaya zaidi hamna ulichoshuhudia zaidi ya simulizi ya bodaboda wako.
Sio mara ya kwanza kuambiwa hivyo juu ya kinachoendelea kariakoo, nimemtumia huyu kijana kama reference maana ndio mtu pekee ambaye amekaa na mimi na kufunguka kinagaubaga; kuna kamsemo "penye moshi kuna moto"
 
Tatizo ni malezi watoto wengi wakizaliwa hutelekezwa na baba zao.Watoto wa
Malezi ya watoto sisi mababa tunaona ni kazi ya mama.Matokeo yake watoto wanakosa mwelekeo na kujiingiza ktk vitendo viovu.Kiini ni malezi. Mtoto anayejua mzazi ni mfuatiliaji wa kile mtoto afanyacho atajenga utamaduni wa kujiheshimu
 
nini kifanyike, kuliokoa taifa la 2050 ?
Maeneo ambayo wanakutana watu wengi sana wenye tamaduni tofauti tofauti lazima itafutwe mbinu ya kujenga jumuiya imara zenye maadili yanayoeleweka; kama vijana hawaendi misikitini na makanisani basi watafutiwe get together nyingine zenye misingi imara maana bila hivyo watashinda kwenye mabaa, madanguro na vijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…