Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Review interview za Chidi BenzTutaamini vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Review interview za Chidi BenzTutaamini vipi
Vijana wengi, hasa Wapare na Wachagga, 🥺🥺🥺😡😡😡😡Jumapili hii, nilipata nafasi ya kukaa na kijana mmoja anayefanya shughuli zake nyingi eneo la Kariakoo kama dereva bodaboda, dalali wa simu, na fundi simu. Kupitia mazungumzo yetu, nilijifunza mambo machungu yanayohusiana na hatma ya vijana wa sasa, hasa wale wa Wilaya ya Ilala na maeneo ya jirani ya Kariakoo. Kwa masikitiko, haya ni baadhi ya mambo niliyojifunza:1. Uraibu wa Pombe na Madawa ya Kulevya
Vijana wengi, hasa Wapare na Wachagga, wameingia kwenye matumizi kupita kiasi ya pombe kali na madawa ya kulevya kwa kufuata mienendo ya baadhi ya marafiki zao wa asili ya Kiarabu. Wakati waarabu hao wana uwezo wa kumudu maisha yao na kula vizuri, vijana wetu, ambao wengi wana changamoto za kiuchumi, hujikuta wakiishiwa kwa sababu ya matumizi haya. Wengi hufanya kazi nzito za kuinua mizigo na mapato yao yote huishia kwenye pombe na dawa za kulevya, hali inayozidi kuwavuruga kimaisha.
2. Changamoto ya Ushoga na Mabadiliko ya Maadili
Kijana huyu alieleza jinsi vijana wengi kutoka mikoani wanavyoshawishika kwa kasi kuingia kwenye tabia za ushoga wanapoingia jijini Dar es Salaam. Mazingira ya 'peer pressure' na ulimbukeni wa kujifanya wa kisasa huwafanya waone tabia hizi ni za “kijanja.” Kwenye maeneo ya Kariakoo, si ajabu tena kuona vijana wa kiume wakiishi pamoja kama wanandoa, na hata ubakaji wa kijinsia ya kiume umeongezeka, ukizaa kizazi kisicho na heshima wala maadili.
3. Tabia za Umalaya na Uchafu wa Kingono
Vijana wa Kariakoo wamezama kwenye matumizi makubwa ya fedha kwa ajili ya uchangudoa na vitendo vya ngono ambavyo haviheshimu misingi ya kidini na maadili. Kijana huyo alieleza kuwa baadhi ya vijana hawawezi kufanya tendo la ndoa wakiwa faragha peke yao, bali hufurahia mtungo (group sex), huku wengine wakishiriki mapenzi kinyume na maumbile. Hali hii inawafanya wengi kushawishika kuingia kwenye tabia za ushoga, kwani ukizoea 'kwa mparange,' inakuwa rahisi kushawishika zaidi.
Nilimsikiliza kijana huyu kwa muda mrefu huku nikiwa na majonzi makubwa. Misikiti na makanisa inaonekana kutelekeza jukumu la kuwafikia vijana hawa, kwani uchafu unaoendelea jijini unadhihirisha kuwa mipaka ya ushawishi wao inaishia maeneo ya mbali kama Chalinze.
Nilikumbuka pia maneno ya msanii maarufu, Chizi Benzi, akielezea jinsi vijana wa Ilala wanavyoendelea kuharibiwa na starehe na ushawishi kutoka kwa watu mashuhuri.
Kaongelea eneo ambalo analifahamuKwani hayo mambo hapa Dar yako tu Kariakoo?
Kwa mtazamo wa kijana niliyokuwa naongea nae kaona makabila hayo yameharibiwa sana hapo KariakooVijana wengi, hasa Wapare na Wachagga, 🥺🥺🥺😡😡😡😡
Sio mara ya kwanza kuambiwa hivyo juu ya kinachoendelea kariakoo, nimemtumia huyu kijana kama reference maana ndio mtu pekee ambaye amekaa na mimi na kufunguka kinagaubaga; kuna kamsemo "penye moshi kuna moto"Umekaa kijiweni na bodaboda mmoja tu umejuisha vijana wa kichaga wote waliopo kariakoo.
Wacha mambo yako kijana tafiti hazifanywi kwa namna hiyo, mbaya zaidi hamna ulichoshuhudia zaidi ya simulizi ya bodaboda wako.
Tatizo ni malezi watoto wengi wakizaliwa hutelekezwa na baba zao.Watoto waJumapili hii, nilipata nafasi ya kukaa na kijana mmoja anayefanya shughuli zake nyingi eneo la Kariakoo kama dereva bodaboda, dalali wa simu, na fundi simu. Kupitia mazungumzo yetu, nilijifunza mambo machungu yanayohusiana na hatma ya vijana wa sasa, hasa wale wa Wilaya ya Ilala na maeneo ya jirani ya Kariakoo. Kwa masikitiko, haya ni baadhi ya mambo niliyojifunza:1. Uraibu wa Pombe na Madawa ya Kulevya
Vijana wengi, hasa Wapare na Wachagga, wameingia kwenye matumizi kupita kiasi ya pombe kali na madawa ya kulevya kwa kufuata mienendo ya baadhi ya marafiki zao wa asili ya Kiarabu. Wakati waarabu hao wana uwezo wa kumudu maisha yao na kula vizuri, vijana wetu, ambao wengi wana changamoto za kiuchumi, hujikuta wakiishiwa kwa sababu ya matumizi haya. Wengi hufanya kazi nzito za kuinua mizigo na mapato yao yote huishia kwenye pombe na dawa za kulevya, hali inayozidi kuwavuruga kimaisha.
2. Changamoto ya Ushoga na Mabadiliko ya Maadili
Kijana huyu alieleza jinsi vijana wengi kutoka mikoani wanavyoshawishika kwa kasi kuingia kwenye tabia za ushoga wanapoingia jijini Dar es Salaam. Mazingira ya 'peer pressure' na ulimbukeni wa kujifanya wa kisasa huwafanya waone tabia hizi ni za “kijanja.” Kwenye maeneo ya Kariakoo, si ajabu tena kuona vijana wa kiume wakiishi pamoja kama wanandoa, na hata ubakaji wa kijinsia ya kiume umeongezeka, ukizaa kizazi kisicho na heshima wala maadili.
3. Tabia za Umalaya na Uchafu wa Kingono
Vijana wa Kariakoo wamezama kwenye matumizi makubwa ya fedha kwa ajili ya uchangudoa na vitendo vya ngono ambavyo haviheshimu misingi ya kidini na maadili. Kijana huyo alieleza kuwa baadhi ya vijana hawawezi kufanya tendo la ndoa wakiwa faragha peke yao, bali hufurahia mtungo (group sex), huku wengine wakishiriki mapenzi kinyume na maumbile. Hali hii inawafanya wengi kushawishika kuingia kwenye tabia za ushoga, kwani ukizoea 'kwa mparange,' inakuwa rahisi kushawishika zaidi.
Nilimsikiliza kijana huyu kwa muda mrefu huku nikiwa na majonzi makubwa. Misikiti na makanisa inaonekana kutelekeza jukumu la kuwafikia vijana hawa, kwani uchafu unaoendelea jijini unadhihirisha kuwa mipaka ya ushawishi wao inaishia maeneo ya mbali kama Chalinze.
Nilikumbuka pia maneno ya msanii maarufu, Chizi Benzi, akielezea jinsi vijana wa Ilala wanavyoendelea kuharibiwa na starehe na ushawishi kutoka kwa watu mashuhuri.
Malezi ya watoto sisi mababa tunaona ni kazi ya mama.Matokeo yake watoto wanakosa mwelekeo na kujiingiza ktk vitendo viovu.Kiini ni malezi. Mtoto anayejua mzazi ni mfuatiliaji wa kile mtoto afanyacho atajenga utamaduni wa kujiheshimuJumapili hii, nilipata nafasi ya kukaa na kijana mmoja anayefanya shughuli zake nyingi eneo la Kariakoo kama dereva bodaboda, dalali wa simu, na fundi simu. Kupitia mazungumzo yetu, nilijifunza mambo machungu yanayohusiana na hatma ya vijana wa sasa, hasa wale wa Wilaya ya Ilala na maeneo ya jirani ya Kariakoo. Kwa masikitiko, haya ni baadhi ya mambo niliyojifunza:1. Uraibu wa Pombe na Madawa ya Kulevya
Vijana wengi, hasa Wapare na Wachagga, wameingia kwenye matumizi kupita kiasi ya pombe kali na madawa ya kulevya kwa kufuata mienendo ya baadhi ya marafiki zao wa asili ya Kiarabu. Wakati waarabu hao wana uwezo wa kumudu maisha yao na kula vizuri, vijana wetu, ambao wengi wana changamoto za kiuchumi, hujikuta wakiishiwa kwa sababu ya matumizi haya. Wengi hufanya kazi nzito za kuinua mizigo na mapato yao yote huishia kwenye pombe na dawa za kulevya, hali inayozidi kuwavuruga kimaisha.
2. Changamoto ya Ushoga na Mabadiliko ya Maadili
Kijana huyu alieleza jinsi vijana wengi kutoka mikoani wanavyoshawishika kwa kasi kuingia kwenye tabia za ushoga wanapoingia jijini Dar es Salaam. Mazingira ya 'peer pressure' na ulimbukeni wa kujifanya wa kisasa huwafanya waone tabia hizi ni za “kijanja.” Kwenye maeneo ya Kariakoo, si ajabu tena kuona vijana wa kiume wakiishi pamoja kama wanandoa, na hata ubakaji wa kijinsia ya kiume umeongezeka, ukizaa kizazi kisicho na heshima wala maadili.
3. Tabia za Umalaya na Uchafu wa Kingono
Vijana wa Kariakoo wamezama kwenye matumizi makubwa ya fedha kwa ajili ya uchangudoa na vitendo vya ngono ambavyo haviheshimu misingi ya kidini na maadili. Kijana huyo alieleza kuwa baadhi ya vijana hawawezi kufanya tendo la ndoa wakiwa faragha peke yao, bali hufurahia mtungo (group sex), huku wengine wakishiriki mapenzi kinyume na maumbile. Hali hii inawafanya wengi kushawishika kuingia kwenye tabia za ushoga, kwani ukizoea 'kwa mparange,' inakuwa rahisi kushawishika zaidi.
Nilimsikiliza kijana huyu kwa muda mrefu huku nikiwa na majonzi makubwa. Misikiti na makanisa inaonekana kutelekeza jukumu la kuwafikia vijana hawa, kwani uchafu unaoendelea jijini unadhihirisha kuwa mipaka ya ushawishi wao inaishia maeneo ya mbali kama Chalinze.
Nilikumbuka pia maneno ya msanii maarufu, Chizi Benzi, akielezea jinsi vijana wa Ilala wanavyoendelea kuharibiwa na starehe na ushawishi kutoka kwa watu mashuhuri.
Maeneo ambayo wanakutana watu wengi sana wenye tamaduni tofauti tofauti lazima itafutwe mbinu ya kujenga jumuiya imara zenye maadili yanayoeleweka; kama vijana hawaendi misikitini na makanisani basi watafutiwe get together nyingine zenye misingi imara maana bila hivyo watashinda kwenye mabaa, madanguro na vijiweninini kifanyike, kuliokoa taifa la 2050 ?
Pombe za uchagani na za kariakoo kwa shinikizo la waarabu ni vitu viwili tofauti; umezoea kunywa banana na viroba Ushirombo unakuja huku inakutana na Feisal kuchanganya Hanson's Choice na cocaineFauata mambo yako tu mkuu, wachaga hawajaanza kunywa pombe leo .
Haijui Kariakoo vizuri hao watu wao hayo makabila mawili ni watu wanaojitambua sana na wanabebana sanaKwa mtazamo wa kijana niliyokuwa naongea nae kaona makabila hayo yameharibiwa sana hapo Kariakoo
Wacha wafe tu kama hawaoni ni mbaya😂Pombe za uchagani na za kariakoo kwa shinikizo la waarabu ni vitu viwili tofauti; umezoea kunywa banana na viroba Ushirombo unakuja huku inakutana na Feisal kuchanganya Hanson's Choice na cocaine
Makabila gani yana matatizo hapo kariakoo ? Je kwa alichokiongea huyu kijana kwa mtazamo wako hali imekuwa mbaya kiasi gani?Haijui Kariakoo vizuri hao watu wao hayo makabila mawili ni watu wanaojitambua sana na wanabebana sana
Hayo mambo yapo maeneo mengi sio k/koo tu johSio mara ya kwanza kuambiwa hivyo juu ya kinachoendelea kariakoo, nimemtumia huyu kijana kama reference maana ndio mtu pekee ambaye amekaa na mimi na kufunguka kinagaubaga; kuna kamsemo "penye moshi kuna moto"
I know thatHayo mambo yapo maeneo mengi sio k/koo tu joh