Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

effects za globalisation zimetoka kuandikwa kwenye mitihani mpaka kuja kudhihirika katika jamii,

je jamii inafanya nini? itaacha kuangalia movie/series za kizungu? tamthilia zile za kiasia(filipino kule) media content nyingi za wazungu?, vipi kwenye masoko , stendi, vijiweni hayo si ndo matusi ya kawaida sehemu hizo?

maana hata huko uznguni ukifatilia mambo nayo yalianza mdogo mdogo na watu kama mamba walikuwepo ila hali ya sasa ni aibu hata kusimulia, taifa hili linajiuliza muelekeo wa miaka 100 mbele?
 
Hivi mwanaume halisi unaweza kutajwa vile usirushe ngumu? Ommy anaongea kwa mapozi eti "huyo ni braza na namwachia Mungu".......response ya Dimpoz ina mashaka sana
 
Kwanza nani anamsikiliza huyo mlevi wa makonyagi DUDUBAYA?

Mtu mwenyewe anaitwa DUDUBAYA, chokoraaa aliyefeli maisha na muziki.

Yeye mwenyewe alifirwa na mabaunsa wa Mista Nice mwaka 2006 akiwa amelewa. Pigwa miti haswa.

Huyu chokoraa mfirwaji hana chochote cha kutuambia! Hana sifa wala hadhi ya kuzungumza chochote.

Cc: cocastic Monetary doctor
 
wakimshtaki mamba, wa kwanza kutoa ushahidi ni mamba
Kitu ambacho hukijui ataomba mahakama itoe kibali Cha kupimwa hao watu Ili kuthibitisha ilo apo ndo watakapo acha
Hivi mwanaume halisi unaweza kutajwa vile usirushe ngumu? Ommy anaongea kwa mapozi eti "huyo ni braza na namwachia Mungu".......response ya Dimpoz ina mashaka sana
Kuna kiduu umu ndan kibishi kinoma kikikuskia mkuu ohooo 🤣🤣
 
Mnawapa kiki sana mashoga mpaka tunawashuku.

Ndugu yako akiamua kuwa shoga si yeye, kwani akiamua yeye kama wewe hutaki kuwa shoga na wewe unakuwa shoga?

Unataka kumpangia ndugu yako jinsi ya kuishi sasa?
U najua jamii inayo wazunguka itakavyo waangalia
 
Kitu ambacho hukijui ataomba mahakama itoe kibali Cha kupimwa hao watu Ili kuthibitisha ilo apo ndo watakapo acha ndala
polepole alivyoanza harakati zake na kusema mfumo wa nec na nida umeunganishwa,

hata mwabukusi aliishia kusema polepole atupe kitu chenye uzito ili waangalie njia za kisheria.

leo hii ukisema rostam fisadi, ni wewe unayesema unatakiwa kutoa ushahidi wa ufisadi, mahakama haiwezi muiza rostam na kumtaka ajisafishe
 
Watu wanakemea kauli za kutaja watu ambao hana ushahidi nao..!!

Tanzania kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni KOSA.

Kama dudubaya ana ushahidi kwanini asiende kuwafungulia mashtaka na kupeleka ushahidi hatua zichukuliwe?

Hii kuchafua watu hovyo ni kosa.

Je, wewe angekuwa baba au mtoto wako anazushiwa hizo mambo ungefurahi??
 
Huyu mlevi wa makonyagi DUDUBAYA amevuka mipaka anatukana mpaka waziri anamuita shoga.

Yaani kachanganyikiwaa naona akaunti yake benki inasoma sifuri mbili, ukiunganisha na kukataliwa kwenye muziki basi anabwata atareeee.

Shida yule DUDUSENGE kipaji hana kabaki kufuga mavuzi tu usoni na kutukana kila mtu.
 
Inasikitisha sana mkuu ,hii hafai kabisa kutokea kwenye familia.

Dudubaya apewe sapoti.

We better wachi our backs.
DUDUSENGE hana sapoti kutoka popote.

Yule bado kidogo tu ataingia segerea kunyea debe.

Amedekezwa sana, naona anaelekea ukingonii akapigwe pumbu vizuri gerezani kama alivyopigwa pumbu na mabaunsa wa mista nice 2006.

DUDUSENGE he better watch his back.
 
Huyu mlevi wa makonyagi DUDUBAYA amevuka mipaka anatukana mpaka waziri anamuita shoga.

Yaani kachanganyikiwaa naona akaunti yake benki inasoma sifuri mbili, ukiunganisha na kukataliwa kwenye muziki basi anabwata atareeee.

Shida yule DUDUSENGE kipaji hana kabaki kufuga mavuzi tu usoni na kutukana kila mtu.
Kwa Huyo waziri wa veggies inawezekana maana wote hawajielewi..!! 😹😹
 
Back
Top Bottom