Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Hoja nzima ya kuishi kwa kuogooa jamii itakavyokuangalia ni potofu.U najua jamii inayo wazunguka itakavyo waangalia
Kwa msingi huo hata wewe usiyependa ushoga, ukienda kwenye jamii ya mashoga, utakuwa shoga tu, si kwa sababu unapenda ushoga, bali kwa sababu unaishi kwa kuogopa jamii inayokuzunguka itakavyokuangalia.
Ni hoja ya kiboya sana, utapelekwapelekwa na jamii tu bila kujali wewe mwenyewe unataka nini.