Dudubaya, Makonda na Katambi wote Wasukuma.
That is a logical non sequitur fallacy.
Correlation does not equal causation.
Unaelewa maana ya huo msemo?
Kwamba wao ni Wasukuma na wamesema hivyo haimaanishi Usukuma wao ndio umewafanya waseme hivyo, inawezekana Wasukuma ni wengi tu na statistically ukitafuta maneno ya kijinga kasema nani utakuta Wasukuma wengi wamesema, kwa sababu wao wako wengi katika population.
Sasa unajuaje wanasema vile si kwa sababu ni wajinga, hawaijui dunia, hawajatembea, na ni kwa sababu ni Wasukuma?
Makonda, Dudubaya na Katambi wote ni washamba tu, hilo ndilo tatizo lao.
Kati ya Dudubaya, Makonda na Katambi nani kasoma nje ya Tanzania?
Achana na kusoma nje, hata hapo nyumbani mtu anaweza kujiongeza.
Nani alikuwa na card ya library huko Kolomije alivyokuwa shule ya msingi kati yao?
They are all semi-literate yokels barely out of abject poverty. That is the problem.
They are all insular, ignorant, incurious country bumpkins. Hawaijui dunia. Hilo ndilo tatizo lao.
Wasukuma tuliokaa Oysterbay tangu enzi za Nyerere na kusoma New York City tunaelewa mambo ya haki za binadamu, na hapo ndipo utajua tatizo si Usukuma, ni ushamba. Na ushamba huu upo makabila mengi Tanzania, hao Wasukuma unawaona sana kwa sababu wapo wengi na wanapenda kupiga kelele tu.
Kigwangalla na Ummy Mwalimu si Wasukuma, lakini nao washatoa kauli homophobic.
Homophobia kwa nchi kama Tanzania ni chaka la kujificha kila mtu kuanzia wanasiasa walioshindwa kazi mpaka wananchi wajinga na wanaoogopa, wanaotafuta kitu cha kukiamini
Kama Usukuma ndiyo sababu, mbona mimi ni Msukuma na sisemi hivyo?
Dr. Augustine Mahiga si mtu wa Pwani, lakini aliijua dunia.
Mbona Makonda alivyoleta maneno yake ya kuandama mashoga, Dr. Mahiga alimkama na kusema hayo ni maneno yake binafsi Makonda, si ya serikali?
Kwani Dr. Mahiga ni mtu wa Pwani?
Mbona Magufuli Msukuma hakumtetea Msukuma mwenzake Makonda kama hili ni jambo la Wasukuma, akaacha msimamo wa serikali usemwe na Dr. Mahiga?
Acheni ujinga wa ukabila.
Tanzania kuna ujinga upo makablla yote, mulikeni ujinga, acheni kitafuta majibu ya matatizo ya ujinga wa kitaifa kwenye ukabila.