Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
huko ughaibuni ni mvurugano tu haijalishi upo kambi gani
View: https://youtube.com/shorts/Rpeh7dNtobY?si=6w2ik_SKEU6qGvi_
Aisee Mungu atusaidie tu kizazi chetu kiepukane na huu usasa!
huko ughaibuni ni mvurugano tu haijalishi upo kambi gani
View: https://youtube.com/shorts/Rpeh7dNtobY?si=6w2ik_SKEU6qGvi_
Huyu baba aliwakosea nini mkamvalisha kyupi?Tetea hoja yako bwashee
Aisee Mungu atusaidie tu kizazi chetu kiepukane na huu usasa!
Ana swaga za tofauti sanaHuyu baba aliwakosea nini mkamvalisha kyupi?
Matokeo yake ukimfokea mtoto unaonekana humpendi, mara umelelewa kwa kufokewa.. kila mtu alee mwanae kwakweli!kizazi cha content creators, bila udikteta sijui kama matokeo yatakua mazuri
😂😂😂Yoda naimani umejipanga vema kwa mashambulizi ya watu wa bara
uhuru wa mtu mmoja unaweza kuathiri uhuru wa watu wengine.Muulize na kuvuta bangi! Kukojoa barabarani, abortion na kujichukulia sheria mkononi!
modern times modern problemsMatokeo yake ukimfokea mtoto unaonekana humpendi, mara umelelewa kwa kufokewa.. kila mtu alee mwanae kwakweli!
😂😂😂 unaleta taharukii wewe hapa.Hakuna alichojipanga chochote, shimo la panya limeshapuliziwa sumu panya wote wanatoka mashimoni sasa na mtashangaa sana orodha yao ni ndefu
Yani ni milio kila sehemu, bado nafanya research kwa nini hawa wafiraji hawataki mikundu ya wanawake hata uwe mrembi vipi hawana mpango na wewe, anaweza kumnunulia gari kijana wa kiume ili awe anambomowa tu.
Kuna siri kubwa imejificha kati ya mikundu ya wanaume na utajiri.
😂😂😂😂Nafikiri watu wa bara wanapiga kelele zaidi kwasababu huko kwao hayo mambo ni chukizo...
Watu wa pwani huenda ushoga ni mambo yao...
Namkumbuka yule askari mzenji aliyeonekana kwenye video mjongeo akikatikia mboo, naishiwa hamu manina...
Nakugawa buree, wewe sikuweziiTufanye Ndio, wewe unaathrikia vipi nikifiriwa??
Huna baya wee mzee. Wape somo hawa Washamba.That is a logical non sequitur fallacy.
Correlation does not equal causation.
Unaelewa maana ya huo msemo?
Kwamba wao ni Wasukuma na wamesema hivyo haimaanishi Usukuma wao ndio umewafanya waseme hivyo, inawezekana Wasukuma ni wengi tu na statistically ukitafuta maneno ya kijinga kasema nani utakuta Wasukuma wengi wamesema, kwa sababu wao wako wengi katika population.
Sasa unajuaje wanasema vile si kwa sababu ni wajinga, hawaijui dunia, hawajatembea, na ni kwa sababu ni Wasukuma?
Makonda, Dudubaya na Katambi wote ni washamba tu, hilo ndilo tatizo lao.
Kati ya Dudubaya, Makonda na Katambi nani kasoma nje ya Tanzania?
Achana na kusoma nje, hata hapo nyumbani mtu anaweza kujiongeza.
Nani alikuwa na card ya library huko Kolomije alivyokuwa shule ya msingi kati yao?
They are all semi-literate yokels barely out of abject poverty. That is the problem.
They are all insular, ignorant, incurious country bumpkins. Hawaijui dunia. Hilo ndilo tatizo lao.
Wasukuma tuliokaa Oysterbay tangu enzi za Nyerere na kusoma New York City tunaelewa mambo ya haki za binadamu, na hapo ndipo utajua tatizo si Usukuma, ni ushamba. Na ushamba huu upo makabila mengi Tanzania, hao Wasukuma unawaona sana kwa sababu wapo wengi na wanapenda kupiga kelele tu.
Kigwangalla na Ummy Mwalimu si Wasukuma, lakini nao washatoa kauli homophobic.
Homophobia kwa nchi kama Tanzania ni chaka la kujificha kila mtu kuanzia wanasiasa walioshindwa kazi mpaka wananchi wajinga na wanaoogopa, wanaotafuta kitu cha kukiamini
Kama Usukuma ndiyo sababu, mbona mimi ni Msukuma na sisemi hivyo?
Dr. Augustine Mahiga si mtu wa Pwani, lakini aliijua dunia.
Mbona Makonda alivyoleta maneno yake ya kuandama mashoga, Dr. Mahiga alimkama na kusema hayo ni maneno yake binafsi Makonda, si ya serikali?
Kwani Dr. Mahiga ni mtu wa Pwani?
Mbona Magufuli Msukuma hakumtetea Msukuma mwenzake Makonda kama hili ni jambo la Wasukuma, akaacha msimamo wa serikali usemwe na Dr. Mahiga?
Acheni ujinga wa ukabila.
Tanzania kuna ujinga upo makablla yote, mulikeni ujinga, acheni kitafuta majibu ya matatizo ya ujinga wa kitaifa kwenye ukabila.
Picha yake halisi ipo hakuvaa chupiAna swaga za tofauti sana
Basi swala la ushoga linaingia mulemule..uhuru wa mtu mmoja unaweza kuathiri uhuru wa watu wengine.
Acha kukurupuka? Soma tena afu ndipo ujibu.Mkuu kwani kuna dini inaunga mkono haya mambo?
Inasikitisha sana!modern times modern problems
Sawa mkuu... may be sijakuelewaAcha kukurupuka? Soma tena afu ndipo ujibu.
Ouk sawa.Sawa mkuu... may be sijakuelewa
Ndio maana Mtibeli aliwaita watoto wa haramu wakapanic sanaa, wanasema uzinzi ni haramu lakini wanahalalisha matokeo ya uzinziMnapo zungumzia Ushoga, lazima muhusishe DINI, ila uzinzi, ukahaba, na uasherati DINI mnakataa kuitumia? Mko sawa nyie?
😂😂😂😂
Hawa ndio maana wanaburuzwa kila uchwao, hawana wanalolijua kichwani mwao.Ndio maana Mtibeli aliwaita watoto wa haramu wakapanic sanaa, wanasema uzinzi ni haramu lakini wanahalalisha matokeo ya uzinzi