Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Kumbe umeliona ilo Sasa watamshtak vip wakat ushaid wanao mana hospital watawapima inakua gudu byee 🤪Ukijiuliza mbona mamba wengine hawataji? Na anao wataja mwisho wa siku wanazuga tu oooh tumemsamehe
Wanajua km watafungua kesi kwny ushahidi mwamba lazima ashindeKumbe umeliona ilo Sasa watamshtak vip wakat ushaid wanao mana hospital watawapima inakua gudu byee 🤪
Ipo ivyoWanajua km watafungua kesi kwny ushahidi mwamba lazima ashinde
wakimshtaki mamba, wa kwanza kutoa ushahidi ni mambaKumbe umeliona ilo Sasa watamshtak vip wakat ushaid wanao mana hospital watawapima inakua gudu byee 🤪
Kitu ambacho hukijui ataomba mahakama itoe kibali Cha kupimwa hao watu Ili kuthibitisha ilo apo ndo watakapo acha ndalawakimshtaki mamba, wa kwanza kutoa ushahidi ni mamba
Mnawapa kiki sana mashoga mpaka tunawashuku.Huwezi mwelewa DUDU BAYA hadi ndugu yako atakapokuwa shoga.
Kitu ambacho hukijui ataomba mahakama itoe kibali Cha kupimwa hao watu Ili kuthibitisha ilo apo ndo watakapo achawakimshtaki mamba, wa kwanza kutoa ushahidi ni mamba
Kuna kiduu umu ndan kibishi kinoma kikikuskia mkuu ohooo 🤣🤣Hivi mwanaume halisi unaweza kutajwa vile usirushe ngumu? Ommy anaongea kwa mapozi eti "huyo ni braza na namwachia Mungu".......response ya Dimpoz ina mashaka sana
Kuna kile kipimo cha kupima uwazi wa shimo na kulinganisha marinda.Kitu ambacho hukijui ataomba mahakama itoe kibali Cha kupimwa hao watu Ili kuthibitisha ilo apo ndo watakapo acha ndala
U najua jamii inayo wazunguka itakavyo waangaliaMnawapa kiki sana mashoga mpaka tunawashuku.
Ndugu yako akiamua kuwa shoga si yeye, kwani akiamua yeye kama wewe hutaki kuwa shoga na wewe unakuwa shoga?
Unataka kumpangia ndugu yako jinsi ya kuishi sasa?
😀😀😀Ni huzuni sanaHivi mwanaume halisi unaweza kutajwa vile usirushe ngumu? Ommy anaongea kwa mapozi eti "huyo ni braza na namwachia Mungu".......response ya Dimpoz ina mashaka sana
Ndo kitakacho wafanya washindwe kesi ndo mana wanashindwa kumshtakiKuna kile kipimo cha kupima uwazi wa shimo na kulinganisha marinda.
polepole alivyoanza harakati zake na kusema mfumo wa nec na nida umeunganishwa,Kitu ambacho hukijui ataomba mahakama itoe kibali Cha kupimwa hao watu Ili kuthibitisha ilo apo ndo watakapo acha ndala
Huyu mlevi wa makonyagi DUDUBAYA amevuka mipaka anatukana mpaka waziri anamuita shoga.Watu wanakemea kauli za kutaja watu ambao hana ushahidi nao..!!
Tanzania kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni KOSA.
Kama dudubaya ana ushahidi kwanini asiende kuwafungulia mashtaka na kupeleka ushahidi hatua zichukuliwe?
Hii kuchafua watu hovyo ni kosa.
Je, wewe angekuwa baba au mtoto wako anazushiwa hizo mambo ungefurahi??
Inasikitisha sana mkuu ,hii hafai kabisa kutokea kwenye familia.Huwezi mwelewa DUDU BAYA hadi ndugu yako atakapokuwa shoga.
DUDUSENGE hana sapoti kutoka popote.Inasikitisha sana mkuu ,hii hafai kabisa kutokea kwenye familia.
Dudubaya apewe sapoti.
We better wachi our backs.
Kwa Huyo waziri wa veggies inawezekana maana wote hawajielewi..!! 😹😹Huyu mlevi wa makonyagi DUDUBAYA amevuka mipaka anatukana mpaka waziri anamuita shoga.
Yaani kachanganyikiwaa naona akaunti yake benki inasoma sifuri mbili, ukiunganisha na kukataliwa kwenye muziki basi anabwata atareeee.
Shida yule DUDUSENGE kipaji hana kabaki kufuga mavuzi tu usoni na kutukana kila mtu.