Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Habari za muda huu wakuu. Nimechunguza sana nakuona watu wasio Amin Mungu na hizi dini zetu wamekua wakiona suala la ushoga na usagaji ni jambo la kawaida na ni haki ya mtu. Et ndugu zangu mnaonaje hili je nipo sahihi kua na mtazamo huu??
 
Kabisa mkuu hasa hao waliopo huko ugaibuni ndio wanaongoza.
 
leo hii mnatetea swala la ushoga kwa kigezo cha haki za binadamu, sishangai tena kipindi kijacho kukatokea upungufu wa watu duniani mkaja tena na hoja mpya.

swali, (kwa kuwa mwili ni wake) Je kujiua ni haki ya mtu?
 
Muulize na kuvuta bangi! Kukojoa barabarani, abortion na kujichukulia sheria mkononi!
 
Tetea hoja yako bwashee
 
Attachments

  • FB_IMG_1743360554555.jpg
    57.6 KB · Views: 7
Mnapo zungumzia Ushoga, lazima muhusishe DINI, ila uzinzi, ukahaba, na uasherati DINI mnakataa kuitumia? Mko sawa nyie?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ