Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hao kina Anko T wanafirwa na mapadre?
 
 
Tabia na misingi ya dini inaweza chichea mambo yasiyo Mazuri ndio maana Kuna Ile wanaitaga Mila potofu
 
Zamani "Monastery " ndio chanzo cha Dodoma na gomora, wanajifungia ndani na wanamalizana wao kwa wao. Naunga mkono hoja!! Kuna watoto wa kiume wanaharibiwa ila kwa kuwa ni watu wanaoaminika katika jamii watu wanakaa kimya.
 
Mtu asipooa au kuolewa wewe inakusaidia nini?

Waliowalawiti Bony Mwangi , Agatha Atuhaire nao walitoka kwenye mambo ya dini?

Chawa mjinga kama boss wako.
 


Machawa hatuwasikii mkikemea mauaji, utekaji na ufiraji mnajificha kwenye kivuli cha dini.

Leo imekua kawaida chawa wa CCM kusema fulani hatoliona jua kesho na inatokea mtu anatekwa na kupotea.
 
Kwa hiyo unaamini amelawiti kwa kuwa hana mke? Hii ni akili kisoda kabisa. Mbona kuna wachungaji wa KKKT na Anglican hata Pentecostal ambao licha ya kuwa na familia zao lakini wana kashfa na wake za watu hata nankashfa za kuwaingilia vijana wa kiume!!

Huo ni udhaifu wa Padre mmoja usiwe chanzo cha kubadili misimamo ya kanisa
 
hapo zanzibar wanapigana paipu.miaka na ni.ule upande mwingine
 
Kuna dini moja Huwa wanaruhusiwa kuoa wake kibao ila kila kukicha viongozi wao na walimu ni kubaka na kulawiti. Ila akifanya mkristo mmoja au kadhaa wanashagilia sana. Mifano hii hapa. Hatari sana. Kuoa kumbe hakuzuii mtu kuwa na tabia mbaya jamani!
 

Attachments

  • Screenshot_20261007-130616.png
    1.2 MB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…