Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Na nyienyie wanawake hutengeneza urafiki mkubwa na hao mashoga... mnawakaribisha mpaka makwenu kuwapa kampani, mnapika na kupakua... jinsia zote zinastahili kulaumiwa hapa.


Ila hawa dawa yao ni kuua tu kama Jamaica wanavyofanya 🤔
Kama yule James Delicious wanawake ndo wanaongoza kwa kumpa umaarufu hasa hawa celebrities wa kike
 
Asante kwa tangazo Mkuu
 
Ila hawa dawa yao ni kuua tu kama Jamaica wanavyofanya
Zamani walikua wanawaua, wamama (mama zao) walipoanza kuwalilia watoto wao kwanini mnaua watoto wetu? ndio yakaja Mambo ya Haki za Binadamu, kwa hio watetezi wao namba moja ni mama zao waliowazaa hawataki watoto wao waliowaweka kwenye matumbo yao wauawe maana hawakuomba kuzaa mashoga nani alaumiwe Mungu?

Ni sawa na kumlaumu mtoto ambae amezaliwa bila kua na njia ya haja kubwa kua kwanini amezaliwa bila kua na njia ya haja kubwa?
 

Kwahio ata ungekuwa ww mama ungekubali mwanao auliwe hili nalo mlitazame kwa upande mwingine ushoga hakuna ane jua kiini chake au chanzo chake ata sodoma hakujua chanzo kwahio ni vyema kila mtu abaki kwenye miiko yake unamuua umemuumba wewe
 
Umetoa code zote Kisha unasema hutaji eneo. Lakini kubwa zaidi ni kuwa usingepost humu ungekua umefanya jambo la maana Sana lakini Kwa Uzi huu unawapa promo hao vijana na wanachokifanya.
Unadhani kama asingeandika ndiyo mashoga wangepungua? Hell, NO! Nchi ina mashoga wengi sana na ni unafiki tu wa watu kujifanya hawaoni lakini kila sehemu ni mashoga. Wiki iliyopita kuna jirani yangu aliniambia alfajiri alikwenda chooni akakuta mpangaji mwenzake amemwinamisha kijana mmoja anayeishi naye.

Sisi tulikuwa tunadhani ni washikaji tu wanaishi wote kumbe ni mtu na mke wake. Na siku si nyingi nilipita maeneo ya Mikocheni nikakuta vijana wawili wanapigana vibaya sana kuuliza kumbe ni ''wake'' wa mzungu mmoja mmoja wanaishi naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…