Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Hawa wapo kundi gani!!?
Hormonal imbalance. Wengi wao wana angukia ktk [emoji2380][emoji2380] kisa kunyanyapaa na kutengwa na watu wa karibu / jamii.

Ila wachache wanaingia kwa matakwa yao kutokana na msukumo wa tatizo binafsi, wengine wanakua tyuuh normal.
 
Changanyikeni
 
Niliingia blog moja inaitwa pamoko, nlichokiona wanaume tunazidi kuisha Mzee wa kupambania
 
Nakuona umeeza tena kuzulula [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina kibarua kizito! Mitaa ya huko uswahilini nipuyange na humu ndani kuna mitaa na chocho za hatari kama uzi huu ni zile chocho unazoenda kutokezea chooni au kibarazani kwa mtu! Sasa ngoja nirudi kulee nikaulize njia!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] na umepotea vibaya mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…