Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Magufuli aliwanyoosha lakini mlikuwa mnajificha jificha tu
Hivi tamko la serikali kuhusu usalama na uhalali wa mashoga, wakati wa seke seke la makonda lilikua chini ya utawala wa nani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekeshaaa kweliiii. Sasa yeye kafichwaaa mazimaaaa, na mashoga wanapetaa mtaani bado. Uwiiiiiih
 
Hizo dini ni wazungu hao hao wamekuletea kwa minajili ya kukutawala wewe
Km mnajua hili, mnahangaika nn sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wa Africa bhanaaa.
 
Hii mada ya ushoga ni panaa sanaaa, sidhani km kuna muafaka utakuwepo. Ndo maana nasemaga kila mtu aishi life lake binafsi, kusubiri kufa ni kazi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii story Nimetoka kupewa na Boda ananiambia anawachukua sana vijana wa NIT anapeleka kwa mabwana

Eeh Mungu tunusuru
CBE, NIT, IFM, TIA
Hivi vyuo ni kibokooo kwa kuzalisha gays.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani daaaah ni uozo mtupu [emoji2961][emoji2961][emoji2961]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…