Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Magufuli aliwanyoosha lakini mlikuwa mnajificha jificha tu
Hivi tamko la serikali kuhusu usalama na uhalali wa mashoga, wakati wa seke seke la makonda lilikua chini ya utawala wa nani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekeshaaa kweliiii. Sasa yeye kafichwaaa mazimaaaa, na mashoga wanapetaa mtaani bado. Uwiiiiiih
 
Hizo dini ni wazungu hao hao wamekuletea kwa minajili ya kukutawala wewe
Km mnajua hili, mnahangaika nn sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wa Africa bhanaaa.
 
Jf ni kama safina linaingia Kila kitu , l mengi humu jf yanaandikwa aliyeleta hapa hajakosea pia,sio kua watu hawazuii huko mitaani Kuna wazazi wanaua watoto wao kimya kimya wakijua kama ni mashoga,wazungu wanapreach huo ushoga but deep down they are hurting mfano wale watoto Kylie na Kendal walilia sana baada ya baba Yao kuamua kubadili jinsia ila hawakua na namna
Kuna yule mzungu aliuliwaga na baba Ake miaka ya nyuma Kwa kua alikua gay

Hivi vitu in short vinashaangaza kiukweli how comes mwanaume kabisaa anamuingilia mwanaume mwenzake?!!!hiyo ni shida ya afya ya akili

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hii mada ya ushoga ni panaa sanaaa, sidhani km kuna muafaka utakuwepo. Ndo maana nasemaga kila mtu aishi life lake binafsi, kusubiri kufa ni kazi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii story Nimetoka kupewa na Boda ananiambia anawachukua sana vijana wa NIT anapeleka kwa mabwana

Eeh Mungu tunusuru
CBE, NIT, IFM, TIA
Hivi vyuo ni kibokooo kwa kuzalisha gays.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata humu tunaye mmoja! Amemfuata dada wa watu pm, akamuomba amtafutie eti mtu wa kumtekenya......! Inawezekana ikawa kweli aisee!!

Na hizo chips yai mnazoshindia huko Dar, ndiyo zinawaongezea matatizo zaidi. Poleni sana. Huku Vijijini tuliko, kuna unafuu sana.
Yaani daaaah ni uozo mtupu [emoji2961][emoji2961][emoji2961]
 
Back
Top Bottom