Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kitu ambacho Nina uhakika Watanzania wengi hawakijui hata hapa JF wengi wala hawajui kwamba mfiraji naye ni shoga.Mashoga mnajimilikisha kila kiu. MMECHUKUA UPINDE WA MVUA TUMEWAACHIA, MMECHUKUA IPHONE TUMEWAACHIA.mwisho wa siku mtasema kula kiporo cha wali maharage na chai, ni ushoga.
Hii kitu umezingua boss......raisi mseveni anatumia iphone lakini yupo mstar wa mbele kupinga ushongaaa......Tupinge ushoga kwa vitendo na sio kwa maneno, Unakubali msaada toka kwa mashoga halafu unasema unapinga ushoga
Mkurugenzi na mwanzilishi wa I Phone bwana Steve jobs alikuwa shoga na alijitangaza hadharani huku akizisifia bidhaa zake za I phone
Leo hii wafanyakazi wengi wa I phone ni mashoga na wamejitangaza hadharani
Unapingaje ushoga huku umenunua simu ya I phone na unajitapa mtaani kuwa ushoga hatutaki Afrika
Watumiaji wa bidhaa na misaada toka kwa mashoga ndio Wanaofanya ushoga uendelee
Unapiga kelele Tanzania Leo wakati bidhaa za mashoga ndio zinazopendwa na zinazidi kuwasifia wao
Watumiaji wa I phone sasa wameongezeka Tanzania na hii imewavutia hata watoto kutaka kuwa na I phone
Wengi wanaopiga kelele za ushoga ndio mashoga wenyewe nyuma ya pazia, Wanatumia mwanya kutangaza zaidi ushoga usikike kwa wale ambao bado hawajaanza huo mchezo
Kama kweli tunapinga ushoga kwa vitendo tuanze kwa kukataa misaada yao, Kukataa bidhaa zao kama za I phone
Huwezi ukawa umebeba I phone Halafu unasema unapinga ushoga
Huwezi ukawa unapata msaada toka nchi kama luxumbourg ukasema unapinga ushoga
iphone zao tutatumia ila hatuwezi kununuliwa kirahisi hivyo, tutatumia na bado tutawaambia ni dhambi waache. misaada tutakula ila haiwezi kutununua nafsi kihivyo.
Wanaotoa mapovu ni watumiaji wa iphoneNilichogundua humu ndani mashoga ni wengi sana,basi mjitangaze tu
Point yako mbona haina relation ya kifiro na iphone [emoji3]
raisi mseveni anatumia iphone lakini yupo mstar wa mbele kupinga ushongaaa......
Anachanganya jobs na tim cookWewe ni lipumbavu! Steve Jobs alijitangaza lini na wapi kwamba yeye ni shoga!
Wewe ndiye shoga unayejitangaza kupitia mgongo wa Steve Jobs!
Mimi situmii IPhone ila sikubaliani na upumbavu wa mtu ambaye anatamani kuwa na iPhone halafu uwezo hana, uwezo wake ni Tecno na infinix tuanze kukashifu watu, hilo halikubaliki.Wanaotoa mapovu ni watumiaji wa iphone
Kwani IPHONE ZINA MAKALIO?Tukueleweje? Wewe unaunga mkono ushoga?
Hata angekuwa shoga, kwani kuna app yenye makalio kwenye iphone.Kwa hiyo tukibeba sime tayari tutageuka wamasai?Wewe ni lipumbavu! Steve Jobs alijitangaza lini na wapi kwamba yeye ni shoga!
Wewe ndiye shoga unayejitangaza kupitia mgongo wa Steve Jobs!
iPhone ndio simu inayoaminika kuwa na mfumo thabiti ya kiusalama.
Sio kila mimba inafaa kuwepo tumboni, vifaa viliwekwa kwa uokozi ukivitumia vinginevyo ni kama ujambazi au uhalifu wowote.Mkuu mbona unaumia sana, Unapinga utoaji mimba lakini unauza vifaa kwa kutolea mimba
Unapinga ushoga lakini unaruhusu na unagawa mafuta ya vilainishi kwa mashoga kwa kuwa ni haki za binadamu
Mbona hapa Tanzania kuna hospital zinagawa vilainishi kwa mashoga?utasema watanzania wanapinga ushoga?
Hata kama watatoa misaada yao lakini haipaswi kukubaliana nao. Mbona starehe ziko nyingi sana!
Hahaha.Wanaojitangaza kuwa ni mashoga ni vizuri tungeona hata video zao wakitifuliwa kisamvu.
Mkuu hao wote tunajua ni uozo, tunawajua mkuu.ila nauliza nisile chakula kisa kapika jambazi.Kitu ambacho Nina uhakika Watanzania wengi hawakijui hata hapa JF wengi wala hawajui kwamba mfiraji naye ni shoga.
Watanzania unapoongelea mashoga taswira yao wanaijenga kwa watu kama Juma Lokole kumbe si kweli, wafiraji pia wanatambulika kama mashoga.
Huwezi kushinda vita yoyote bila kujuwa nguvu ya Adui yako.
Watu majeuri kama Donald Trump wamechemka na wamemuondowa kwenye Urais.