Iphone ni ya MASHOGA.Unajua aliyeitengeneza au market meneja nani? Unajua aliyekuuzia nani?
Hela ya kununua iPhone hauna
NA NYIE KINA MAMA WALEENI VEMA WATOTO KIUME, SIO KUWALEA KIMAMA MAMA, NYIE NDO MNA MUDA MWINGI SANA NAO NYUMBANI
kwanini unaishi nchi moja na mashoga? Yule askari shoga si anaishi kwenye jamnhuri ya muungano wa Tanzania?
Kumbe mnapenda MALI ZA MASHOGA?Natumia simu za Samsung zina bei sawa na iPhone, pia zina app za Google na Microsoft WhatsApp Facebook kote huko wapo mashoga, je niache kutumia sababu ya ushoga hapana tukisema tu boycott kila kilichotengezwa na shoga tutarudi kuishi zama za mawe, muhimu tujitahidi tutengeneze vya kwetu kisha ndio haya mambo yatawezekanaView attachment 2536821View attachment 2536822
Eeeeeh!! Mtu kanaswa leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe ndio michezo yako sikujua km ni mzee wa upinde
Steve jobs hakuwa shoga. Shoga ni Tim CookTupinge ushoga kwa vitendo na sio kwa maneno, Unakubali msaada toka kwa mashoga halafu unasema unapinga ushoga
Mkurugenzi na mwanzilishi wa I Phone bwana Steve jobs alikuwa shoga na alijitangaza hadharani huku akizisifia bidhaa zake za I phone
Leo hii wafanyakazi wengi wa I phone ni mashoga na wamejitangaza hadharani
Unapingaje ushoga huku umenunua simu ya I phone na unajitapa mtaani kuwa ushoga hatutaki Afrika
Watumiaji wa bidhaa na misaada toka kwa mashoga ndio Wanaofanya ushoga uendelee
Unapiga kelele Tanzania Leo wakati bidhaa za mashoga ndio zinazopendwa na zinazidi kuwasifia wao
Watumiaji wa I phone sasa wameongezeka Tanzania na hii imewavutia hata watoto kutaka kuwa na I phone
Wengi wanaopiga kelele za ushoga ndio mashoga wenyewe nyuma ya pazia, Wanatumia mwanya kutangaza zaidi ushoga usikike kwa wale ambao bado hawajaanza huo mchezo
Kama kweli tunapinga ushoga kwa vitendo tuanze kwa kukataa misaada yao, Kukataa bidhaa zao kama za I phone
Huwezi ukawa umebeba I phone Halafu unasema unapinga ushoga
Huwezi ukawa unapata msaada toka nchi kama luxumbourg ukasema unapinga ushoga
Sasa kwani mie nimesema nini jamani?mzabzab staki maneno na wewe
Watoto wanaharibika, wanaume wanakwisha...... acheni buana
Hiki kizazi cha kiume kifutwe tu, ndio kinatuletea majanga tele, kuanzia;
Sodoma na Gomora ni Wanaume,
Gharika ya Nuhu ni Wanaume,
Kumsulubu Yesu ni Wanaume,
Vita na Ukatili ni Wanaume,
Ubakaji na Ulawiti ni Wanaume,
Wizi na Ujambazi ni Wanaume,
Wanyama mwituni hawapo salama sababu ya Wanaume,
Viumbe vya Baharini havipo salama sababu ya Wanaume,
Mother Nature analia kwa kuharibiwa na Wanaume,
Hata Mungu alianza kumuumba Mwanaume lakini akaona hatoshi, aliona uharibifu wake akaamua amletee Mwanamke walau aweze kumuongoza na kumtuliza lakini wapiiiiii,
Wanaume Wafeeeeeeeeeeeeeeee [emoji849]
Burundi nao kuna watu mashoga na wasagaji. Nenda kwenye sayari ya Mars.Ntahamia burundi.
Hatari sana mkuu, umeongea ukweli.Kwa taarifa yako Mimi napinga vikali ushoga, lakini pamoja na kupinga kwangu ushoga lakini ukweli utabaki palepale Mashoga ndio wanatawala dunia kwa Sasa.
Ukitafuta watu Genius 10 kwa Sasa basi 8 ni mashoga.
Mkumbuke post zangu za awali nimewapa darasa wasiojuwa kwamba mfiraji ni shoga pia.
Anayefira na anayefirwa wote ni gays, same apply kwa wanawake, anayemsaga mwenzake na anayesagwa wote ni Lesbian.
Cc: Halima Mdee na Esta Bulaya.
Sasa kwani mie nimesema nini jamani?
Nyie mnasema mpo against hivyo vitu but yet mnaanzisha hizo mada humu ili iweje?
[emoji28] WauwaweeHiki kizazi cha kiume kifutwe tu, ndio kinatuletea majanga tele, kuanzia;
Sodoma na Gomora ni Wanaume,
Gharika ya Nuhu ni Wanaume,
Kumsulubu Yesu ni Wanaume,
Vita na Ukatili ni Wanaume,
Ubakaji na Ulawiti ni Wanaume,
Wizi na Ujambazi ni Wanaume,
Wanyama mwituni hawapo salama sababu ya Wanaume,
Viumbe vya Baharini havipo salama sababu ya Wanaume,
Mother Nature analia kwa kuharibiwa na Wanaume,
Hata Mungu alianza kumuumba Mwanaume lakini akaona hatoshi, aliona uharibifu wake akaamua amletee Mwanamke walau aweze kumuongoza na kumtuliza lakini wapiiiiii,
Wanaume Wafeeeeeeeeeeeeeeee [emoji849]
Ndio point ilipo sasa,Natumia simu za Samsung zina bei sawa na iPhone, pia zina app za Google na Microsoft WhatsApp Facebook kote huko wapo mashoga, je niache kutumia sababu ya ushoga hapana tukisema tu boycott kila kilichotengezwa na shoga tutarudi kuishi zama za mawe, muhimu tujitahidi tutengeneze vya kwetu kisha ndio haya mambo yatawezekanaView attachment 2536821View attachment 2536822