Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Natumia simu za Samsung zina bei sawa na iPhone, pia zina app za Google na Microsoft WhatsApp Facebook kote huko wapo mashoga, je niache kutumia sababu ya ushoga hapana tukisema tu boycott kila kilichotengezwa na shoga tutarudi kuishi zama za mawe, muhimu tujitahidi tutengeneze vya kwetu kisha ndio haya mambo yatawezekana
20230304_110238.jpg
IMG-20230304-WA0001.jpg
 
NA NYIE KINA MAMA WALEENI VEMA WATOTO KIUME, SIO KUWALEA KIMAMA MAMA, NYIE NDO MNA MUDA MWINGI SANA NAO NYUMBANI

Baba unayejitambua hawezi toa comment kama yako!! Kwa koment hii na wewe ni mtumiaji
Baba anayejitambua anahakikisha familia yake imekaa kwenye mstari kuanzia mke hadi watoto
 
Natumia simu za Samsung zina bei sawa na iPhone, pia zina app za Google na Microsoft WhatsApp Facebook kote huko wapo mashoga, je niache kutumia sababu ya ushoga hapana tukisema tu boycott kila kilichotengezwa na shoga tutarudi kuishi zama za mawe, muhimu tujitahidi tutengeneze vya kwetu kisha ndio haya mambo yatawezekanaView attachment 2536821View attachment 2536822
Kumbe mnapenda MALI ZA MASHOGA?
 
mzabzab staki maneno na wewe
Watoto wanaharibika, wanaume wanakwisha...... acheni buana
 
Hiki kizazi cha kiume kifutwe tu, ndio kinatuletea majanga tele, kuanzia;
Sodoma na Gomora ni Wanaume,
Gharika ya Nuhu ni Wanaume,
Kumsulubu Yesu ni Wanaume,
Vita na Ukatili ni Wanaume,
Ubakaji na Ulawiti ni Wanaume,
Wizi na Ujambazi ni Wanaume,
Wanyama mwituni hawapo salama sababu ya Wanaume,
Viumbe vya Baharini havipo salama sababu ya Wanaume,
Mother Nature analia kwa kuharibiwa na Wanaume,

Hata Mungu alianza kumuumba Mwanaume lakini akaona hatoshi, aliona uharibifu wake akaamua amletee Mwanamke walau aweze kumuongoza na kumtuliza lakini wapiiiiii,

Wanaume Wafeeeeeeeeeeeeeeee [emoji849]
 
Tupinge ushoga kwa vitendo na sio kwa maneno, Unakubali msaada toka kwa mashoga halafu unasema unapinga ushoga

Mkurugenzi na mwanzilishi wa I Phone bwana Steve jobs alikuwa shoga na alijitangaza hadharani huku akizisifia bidhaa zake za I phone

Leo hii wafanyakazi wengi wa I phone ni mashoga na wamejitangaza hadharani

Unapingaje ushoga huku umenunua simu ya I phone na unajitapa mtaani kuwa ushoga hatutaki Afrika

Watumiaji wa bidhaa na misaada toka kwa mashoga ndio Wanaofanya ushoga uendelee

Unapiga kelele Tanzania Leo wakati bidhaa za mashoga ndio zinazopendwa na zinazidi kuwasifia wao

Watumiaji wa I phone sasa wameongezeka Tanzania na hii imewavutia hata watoto kutaka kuwa na I phone

Wengi wanaopiga kelele za ushoga ndio mashoga wenyewe nyuma ya pazia, Wanatumia mwanya kutangaza zaidi ushoga usikike kwa wale ambao bado hawajaanza huo mchezo

Kama kweli tunapinga ushoga kwa vitendo tuanze kwa kukataa misaada yao, Kukataa bidhaa zao kama za I phone

Huwezi ukawa umebeba I phone Halafu unasema unapinga ushoga

Huwezi ukawa unapata msaada toka nchi kama luxumbourg ukasema unapinga ushoga
Steve jobs hakuwa shoga. Shoga ni Tim Cook
 
Hiki kizazi cha kiume kifutwe tu, ndio kinatuletea majanga tele, kuanzia;
Sodoma na Gomora ni Wanaume,
Gharika ya Nuhu ni Wanaume,
Kumsulubu Yesu ni Wanaume,
Vita na Ukatili ni Wanaume,
Ubakaji na Ulawiti ni Wanaume,
Wizi na Ujambazi ni Wanaume,
Wanyama mwituni hawapo salama sababu ya Wanaume,
Viumbe vya Baharini havipo salama sababu ya Wanaume,
Mother Nature analia kwa kuharibiwa na Wanaume,

Hata Mungu alianza kumuumba Mwanaume lakini akaona hatoshi, aliona uharibifu wake akaamua amletee Mwanamke walau aweze kumuongoza na kumtuliza lakini wapiiiiii,

Wanaume Wafeeeeeeeeeeeeeeee [emoji849]

Wasife wala kizazi chao Kisifutwe, ila wabadilike
Kikifutwa tutazalisha janga lingine
 
Kwa taarifa yako Mimi napinga vikali ushoga, lakini pamoja na kupinga kwangu ushoga lakini ukweli utabaki palepale Mashoga ndio wanatawala dunia kwa Sasa.

Ukitafuta watu Genius 10 kwa Sasa basi 8 ni mashoga.

Mkumbuke post zangu za awali nimewapa darasa wasiojuwa kwamba mfiraji ni shoga pia.

Anayefira na anayefirwa wote ni gays, same apply kwa wanawake, anayemsaga mwenzake na anayesagwa wote ni Lesbian.

Cc: Halima Mdee na Esta Bulaya.
Hatari sana mkuu, umeongea ukweli.

Sema nini ukisema tuzigomee bidhaa zao kisa mwanzilishi wake ni punga inakuwa haileti maana labda tu hizo bidhaa zingekuwa na uhusiano na huo ujinga hapo sawa.
 
Hiki kizazi cha kiume kifutwe tu, ndio kinatuletea majanga tele, kuanzia;
Sodoma na Gomora ni Wanaume,
Gharika ya Nuhu ni Wanaume,
Kumsulubu Yesu ni Wanaume,
Vita na Ukatili ni Wanaume,
Ubakaji na Ulawiti ni Wanaume,
Wizi na Ujambazi ni Wanaume,
Wanyama mwituni hawapo salama sababu ya Wanaume,
Viumbe vya Baharini havipo salama sababu ya Wanaume,
Mother Nature analia kwa kuharibiwa na Wanaume,

Hata Mungu alianza kumuumba Mwanaume lakini akaona hatoshi, aliona uharibifu wake akaamua amletee Mwanamke walau aweze kumuongoza na kumtuliza lakini wapiiiiii,

Wanaume Wafeeeeeeeeeeeeeeee [emoji849]
[emoji28] Wauwawee
 
Natumia simu za Samsung zina bei sawa na iPhone, pia zina app za Google na Microsoft WhatsApp Facebook kote huko wapo mashoga, je niache kutumia sababu ya ushoga hapana tukisema tu boycott kila kilichotengezwa na shoga tutarudi kuishi zama za mawe, muhimu tujitahidi tutengeneze vya kwetu kisha ndio haya mambo yatawezekanaView attachment 2536821View attachment 2536822
Ndio point ilipo sasa,
Ukikataa Ushoga na ukatae kutumia vitu vilivyotengenezwa na Mashoga hata hizo nguo wabunifu wakubwa ni mashoga [emoji2296]

Jamani Culture Me anakosa mada zake hizi 🥲
Alaaniwe aliyesababisha akapigwa ban[emoji35]
 
Back
Top Bottom