Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

Badala ya sie wamikoani ndo tushangae eti unashangaa wewe ambae kila siku mnapishana nao huko dasilamu mitaan

Kweli unaumwa maana hata ulichoandika hakielewek

Sijui watu wanalipendea nini jicho,mbona halina maajabu yoyote

Kwanza halina utelezi wa asili
 
Umefanya vizuri kuchukia ushoga ila suala la huo upuuzi kukufanya uugue ukijilegeza sana utaelekea hukohuko kuwa mwanachama wa upinde
 
Badala ya sie wamikoani ndo tushangae eti unashangaa wewe ambae kila siku mnapishana nao huko dasilamu mitaan

Kweli unaumwa maana hata ulichoandika hakielewek

Sijui watu wanalipendea nini jicho,mbona halina maajabu yoyote

Kwanza halina utelezi wa asili
Ushajaribu sio
 
Nchi yangu Tanzania, najua tunatambua tamaduni zetu na asili yetu, Suala la mwanamme kumpanda mwanaume mwenzie halikubariki kijamii, wala kiutamaduni, suala hili ni laana na pia ni aibu kubwa,

Mambo haya yanavyoendelea ndio yanavuka mipaka hadi watoto wadogo kuanza kufanyiwa unyama wa kulawitiwa na kudhalilishana, Najua taifa ili liende kuna baadhi ya mambo hayahitaji makelele mengi kwa kuwa siku hizi haki za binadam zipo kila sehemu na bado taifa langu ni changa tunahitaji kushikwa mkono na hayo mataifa yanayotetea huu uovu.

Hapa njia rahisi na yakuepuka haya matukio ilipaswa Kitengo maalumu kiandaliwe kwa ajili ya kudeal na haya matukio kimya kimya bila makelele wala miruzi mingi, jambo hili halitakiwi hata kuzungumziwa ila ipo namna ya kudeal nalo kimya kimya na likamalizika pasipokuwepo na makelele.

Itambulike tu kuwa kila taifa wanazonjia zao za kudeal na watu wavunjifu wa amani na wanaojificha nyuma ya kivuli cha watu fulani.

Kwa njia hii tutakuwa salama na haya yataisha ila makelele haya ya mitandaoni mda mwingine yanaonekana kama tunayapromote matukio ya kishenzi ya namna hii.

Watu wasiojulikana deal with this kwa amani ya Taifa letu.
 
Tayari intelijensia ipo kazini na kwa kuanzia Viongozi wote wa Kitaifa hawataji neno ushoga wala mapenzi ya jinsia moja bali utasikia 'matendo yasiyo ya kimaadili'

pasi na kuwaunga mkono hatuwezi kufanikiwa
 
90535140-93B3-42F2-84E1-E1E68030A0EE.jpeg
 
Nchi yangu Tanzania, najua tunatambua tamaduni zetu na asili yetu, Suala la mwanamme kumpanda mwanaume mwenzie halikubariki kijamii, wala kiutamaduni, suala hili ni laana na pia ni aibu kubwa,
Mbona tumesaini mikataba ya kulinda haki za binadamu na pesa tumepokea
 
Kwani tamko rasmi la serikali kuu linasemaje ukiachana na matamko ya kila wizara?. mfano wizara ya afya inaelezea tu madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile. Pia wizara ya elimu inatoa sababu zake nazo ni za msingi kuhusu mambo ya ushoga
 
Serikali Iepuke Kupokea Cash Baadaye Unaambiwa Umelipiwa
 
hapa halitakiwi tamko ila inaitajika matendo tu, kwani wangapi walishapotezwa na wasiojulikana na hawakujuliakana walipo? leo hii watu hawa wanashindwa kupotezwa kimyakimya
 
Back
Top Bottom